January 30, 2010
Muswada wa Usalama wa Taifa wapigwa chini tena.
January 28, 2010
HII SASA HATARI
· Polisi wakamata za Shilingi milioni 60
· Za Arusha zaletwa Dar kwa hatua zaidi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata malori manne yakiwa yemesheheni taulo za usafi za wanawake feki (Always) zenye thamani ya Sh. milioni 60 zinazodaiwa kuingizwa kinyume cha sheria.
Dr Shein ziarani Kenya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia uandaaji wa huduma mbalimbali za mauwa wakati walipotembelea katika kiwanda cha mapambo mjini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia huduma za utafiti wa mazao kwa kutumia teknologia ya kisasa walipotembelea katika kituo cha utafiti wa Kilimo Gigiri Nairobi
January 25, 2010
Msaada kwa Mtoto Tuntufye.
Wadau Tumsaidie Mtoto Tuntufye..
January 19, 2010
Mshidi wa fyatua choo huyu hapa
January 18, 2010
Lusekelo on Mtoto wa Mkulima "poverty" announcement
MATAPELI NA MAAFA YA HAITI - WATCH OUT
January 13, 2010
WHY Prof Baregu denied UDSM contract renewal
Stadium kubwa Afrika.
January 11, 2010
Taifa Stars mmejifunza nini kwa Mali??
Stars mmejifunza nini kwa Mali?
Matokeo ya mechi ya ufunguzi ya fainali ya Kombe la Afrika iliyoanza kutimua vumbi jana kwa wenyeji Angola kuchuana na Mali yaweza kuacha historia fulani kwa kipindi Fulani katika medani ya soka Afrika na dunia kwa muda Fulani.
Si tu kwa mbwembwe za ufunguzi ama serikali ya Togo kuamua kuitoa timu yao baada ya kuvamiwa na majambazi wakielekea mashindano na hatimaye watu watatu kuuwawa au uwezo wa mwenyeji kufunga magori mengi manne na kuongoza kwa kipindi kirefu ata kuwa na uhakika kuwa wameshinda gemu ama uwezo wa timu Mali kurudisha magori yooote manne kwa dakika takribani kumi na moja, si hayo tu.
Bali pengine nadhani ni moyo wa uvumilivu na kutokata tamaa kwa timu ya Mali, kuendelea kupambana na hatimaye kufunga magori mazuri na ya uhakika na kuwaacha wenyeji vinywa wazi, kwa hakika timu ya Mali ni nzuri na wachezaji wake wamejengwa vyema kisaikolojia kiasi cha kutokana tamaa mapema, sikuamini macho yangu kile kilichokuwa kinatokea jana.
Baada ya mechi ile nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu timu yetu Taifa Stars, Je wachezaji wetu wangekuwa ndo timu ya Mali wangefanyaje? Pamoja ya kuwa goli ni goli lakini magori mawili ya Angola yalitokana na penati, kwa mtazamo mfupi wa kukata tamaa na kutafuta mchawi Mali wangeweza kusema kuwa mwenyeji kapendelewa na hivyo kuwa na sababu ya kushindwa, je si ndivyo timu yetu ingepata kisingizio na kwa kuwa wote tulikuwa tunaangalia na kuona ni kweli? Hapana shaka kuridhika na kufungwa pia?
Taifa stars inahitaji kujegwa sana kisaikolojia kwenye gemu labda kuliko kitu kingine chochote, kuwa hakuna kukata tamaa ata kama umefungwa goli ngapi na timu gani iwe Brazil au Ivory Coast. Mechi iliyopita na Ivory coast tulikuwa na uwezo wa kuwashangaza kwa kiasi kikubwa lakini nadhani wachezaji wetu pamoja na kusifiwa kufanya vizuri lakini hawakufanya vizuri sana, wengine walikuwa wakionekana kama watazamaji, wakiwaangalia kina Dogba au Cole, laity tungelikuwa na majaribio golini manne kama lile la Tegete tungewaacha vinywa wazi Tembo wa Ivory.
Ushauri wangu kwa kocha ni kuchukua mkanda wa mechi ya jana alinganishe na mechi yetu na Tembo na mechi zooote ambazo tumeshibdwa au hata kushinda pia na kuona ni nini Mali wamefanya ambacho hatuwezi kufanya.
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
It has been a while now that my life had taken on a sense of expectation. It has been almost 3 months since I met Russell Simmons at a char...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
Katuka mila nyingi za kiafrica ama kibantu ni utovu wa nidhamu kumwita mkubwa wako MWONGO ni kitendo cha dharau, nami nisingependa kabisa ku...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
Kenya's Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta appears to have won the presidential election by the tightest of margins, provisional ...