January 2, 2009

Sikiliza Bibi Umeme!

Mabibi Umeme Badra Masoud (Msemaji Mkuu) na Evalder Munisi (Mhandisi Mkuu) wakionyesha jinsi watu wasiopenda maendeleo au wapenda kukaa kizani walivyujumu miundo mbinu ya shirika huku Pugu, Majohe.
Nyaya zenye ulefe wa mita zipatazo 3,0000 zimeibwa na hasara isiyopungua millioni nane, tanesco wameamua kusitisha kupeleka huduma hii huko kutokana na hujuma hii.
Hili ni eneo jipya kabisa lenye wakazi wapatao elfu na ushhee ambapo tanesco walijaribu kuwasogezea huduma hii muhimu kwa matarajio kuwa wangepata wateja wapya wapatao mia nane hivi, lakini hadi kufikia jana ni wateja wapatao 45 tu ndo walikuwa wameomba kuunganishiwa.

HAPPY NEW YEAR FROM ANGEL

SALAMU ZA MWAKA MPYA TOKA KWA ANGEL KWA WADAU WOTE ANASEMA "TAKE CARE, TAKE CONTROL"

MAANDAMANO YA "WAISLAMU DAR KUPINGA MAUAJI GAZA

HAYA NI MAANDAMANO YA "WAISLAMU" KUPINGA MAUAJI YA WAPALESTINA HUKO UKANDA WA GAZA YANAYOFANYWA NA MAJESHI YA ISRAEL.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...