December 30, 2010

Kifaa kiko sokoni

Kamera inauzwa hiyo, ni kama mpya vile.
- Aina ni Panasonic Lumix,
- MP 12,
- Ina lens 2 ya LEICA 14mm - 50mm na 140mm - 600mm
- betri 2 na charger,
- Manual na software CD
- 2GB Card
- ina LIVE VIEW pia, na
- Made in Japan
Bei maelewano,
call - 0784 475576

December 21, 2010

Hatimaye BAE yapigwa faini kwa kutulangua RADAR

LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award of a radar contract in Tanzania.

The decision by a U.K. court ratifies an agreement reached by the Farnborough, England-based company and the Serious Fraud Office earlier this year.

BAE Systems had agreed with the SFO to pay a penalty of GBP30 million. After the fine is deducted from that amount, the balance will be paid in reparation for the benefit of the people of Tanzania.

A judge at Southwark Crown Court also ordered BAE Systems to pay GBP225,000 in court costs.

Read more here

December 20, 2010

Wikileaks yaanza kuanika mambo ya Bongo

Waanza na RADAR, RUSHWA

8. (C) Hoseah then turned to his concerns regarding Tanzania's anti-corruption struggle. He noted that President

Kikwete does not appear comfortable letting the law handle corruption cases which might implicate top level officials.

According to Hoseah, President Kikwete is hesitant to pursue cases which may implicate XXXXXXXXXXXX.

9. (C) Referring to the widespread rumors of corruption within the Bank of Tanzania (Ref B), Hoseah remarked that

XXXXXXXXXXXX In Hoseah's view, Kikwete's recent appointment of three new deputy BOT governors was XXXXXXXXXXXX. The DCM remarked that XXXXXXXXXXXX responses to allegations

XXXXXXXXXXXX were opaque and even projected a sense of impunity. "Your perception is correct," Hoseah responded, adding, "there is a sense of impunity with XXXXXXXXXXXX because he and XXXXXXXXXXXX are so closely intertwined. Kikwete would find it very difficult to fire him."

December 14, 2010

Ombi la mchango wa EBENEZA TV

Mikocheni B Assemblies of God wanampango wa kuanzisha station ya Television wanaomba mchango toka kwa Wadau na wote wenye mapenzi mema kushiriki katika neema hii ya uanzishwaji wa kituo cha luninga kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Ebeneza Tv ni dada wa Praise Power Radio.

Next NEW Millionaires in BONGO.

One of the most fascinating parts of my research is discovering who is becoming a millionaire today—becoming a millionaire seems to have less correlation each year with your race, religion, country of origin, or even your parents or your education.

If you are an entrepreneur, or considering becoming one in wellness, there has never been a better time in history to own your own business.

The 1990s were the beginning of a period that will be known one day as The Democratization of Wealth, not just in the United States, but also in every nation from China to Europe.

Millionaires are the fastest growing minority in the United States and the developed world today.

These wellness revolutionaries are the true heroes of the wellness revolution. Whether you are an experienced wellness professional looking to grow your business, or you are reading this book in search of a new business opportunity, their stories will provide you the inspiration and the information you need to capitalize on the great opportunity ahead:

The opportunity to make an incredible fortune by doing incredible good in the greatest industry on earth—wellness.

Ten million new millionaires will be created between 2006-2016, and The Next Millionaires explains how you can become one of them--especially if you are in direct selling, technology, home-based business, product distribution, or an emerging trillion-dollar industry like wellness.

The Next Millionaires explains in detail why the 21st century will be known as the age of the entrepreneur, and how you can stake your claim to being one of these next 10 million millionaires--especially if you are in direct selling, technology, home-based business, product distribution, or an emerging trillion-dollar industry like wellness.

It explains how old models of opportunity in physical distribution have given way to new opportunities in intellectual distribution, defined as teaching people about products or services that they didn't even know exist.

And, drawing on Pilzer's 33 years of experience as an entrepreneur and employer, it explains how to use your past to find your place in the new economy and your ticket to becoming one of The Next Millionaires.

"THE EMERGING INDUSTRIES OF WELLNESS AND NETWORK MARKETING

ARE COMBINING TO CREATE TODAY’S—AND TOMORROW’S—NEW WEALTH.

BY PAUL ZANE PILZER

We have now in Tanzania the same opportunity for those who really wants to part of WORLD NEW MILLIONAIRES, the WELLNESS and NETWORK MARKETING firm is here, every one is free to join by clicking this text.

Paul Zane Pilzer Paul Zane Pilzer is a world-renowned economist, a social entrepreneur, an adjunct professor, and the author of nine best-selling books and dozens of scholarly publications.

December 6, 2010

Je meli ibaki bandarini tu?

Yes! its very safe for it to stay there, at least we hope nothing bad can happen when its parked! your wrong! anything can happen to it anywhere.

Lakini je hiyo ndio sababu ya kuumbwa kwake? This very much same to our life, Gods created us with purpose, find out whats your's, don't be satisfied with the situation you are in, go out try something new.

Doors of opportunity don't open: they unlock, its up to you to turn the knob.

Find out how here.

December 1, 2010

The Word became Flesh"

“In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. He was with God in the beginning. The Word became flesh and made his dwelling among us. We have seen his glory, the glory of the one and only Son, who came from the Father, full of grace and truth.” - John 1:1-2, 14

UMASIKINI au UTAJIRI ni maamuzi binafsi?

Ukiangalia mchoro huu wa Msanii Maembe kwa haraka uwezi kuona picha iliyopo hapo, lakini ukitulia ukaangalia tena na tena utaona picha fulani hapo ambayo waweza itafsiri upendavyo na mara utakapoziona picha hazitaondoka akilini, kila uangaliapo mchoro huo zitakujia haraka sana.
Hivyo ndivyo ilivyo kwa fursa nyingi na hasa katika ulimwengu huu wa ICT tuishimo, si rahisi mtu kuona fursa mahali fulani hata kama utamlazimisha vipi, ni mpaka pale atakapoamua mwenyewe kuangalia tena na tena ndipo ataiona.
Biblia yasema- "Mauti na Uzima huwa ndani ya uweza wa ulimi,"
Je si ni sahihi pia kusema UMASIKINI na UTAJIRI huu ndani ya uweza wa ULIMI?
Je si ni kweli kufa masikini ni uamuzi wa mtu?
Waweza jitamkia UZIMA na UTAJIRI ungana na walio AMUA kuukataa umasikini HAPA

November 29, 2010

Prof Tibaijuka akabidhiwa ofisi rasmi

Waziri Mpya wa Ardhi, Nyumba ......Prof Anna Tibaijuka akikabidhiwa vitendea kazi na mtanguzi wake John Chiligati.

November 27, 2010

Je wewe uko kundi gani? Which group do you belong?

Je uko kundi gani?

Dunia ya utafutaji/kipato binadamu tumegawanyika katika makundi makuu manne, kwa mujibu wa Msomi, Mfanyabiashara, Mwamasishaji na mwandishi wa vitabu wa Marekani Robert Kiyosaki, nayo ni 1. Mwajiriwa, 2. Kujiajiri, 3. Mmiliki wa Biashara na 4. Mwekezaji.

Robert Kiyosakim katika kitabu chake cha Rich Dad’s Cashflow Quadrant ameyagawa makundi haya mane katika pande kuu mbili, Kushoto kuna 1 & 2 na kulia ambako kuna 3 & 4.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali duniani Upande wa kushoto wa Waajriwa na Wanaojiajiri, ndio wenye idadi kubwa ya watu 80% lakini unamiliki asilimia 5% ya utajiri wa dunia, na upande wa kulia, Wamiliki Biashara na Wawekezaji una aslimia 20% tu ya idadi ya watu wote lakini unamiliki asilimia 95% ya utajiri wa dunia.

Vitabu vitakatifu vinakili kuwa Mungu hakutuumba tuwe masikini, ndio maana kabla ya kuumbwa kwa mwanadamu aliandaa mazingira yote na akatupa mamlaka ya kuvitawala viumbe vyooote ikiwemo mali zote alizotuandalia iwe juu ama chini ardhini, baharini au nchi kavu. NK. Walio upande wa kulia wamejua hilo ndo maana wakafanya maamuzi sahihi.

Sifa kuu za pande zote mbili,

1. Kushoto – Waajiriwa na Wanaojiajiri

Ndilo kundi lenye watu wengi zaidi na lililo masikini pia, Ili kufanikiwa katika kundi ni lazima ama usome sana, ujinyime sana, ufanye kazi kwa muda mrefu sana nk.

Kadiri unavyofanikiwa katika kundi hili ndivyo unavyozidi kukosa muda wa kupumzika, kuwa karibu na familia yako nk.

2. Kulia – Wamiliki wa Biashara na Wawekezaji.

Hili lina idadi ya watu wachache sana duniani lakini likiwa linamiliki asilimia 95% ya utajiri wa dunia.

Kadiri unavyofanikiwa katika kundi hili ndivyo unavyopata muda mwingi wa kupumzika, unafanya kazi muda uutakao na pia unapata fursa ya kuwa karibu na familia yako kwa muda mrefu, NK

Je kwanini kundi hili la kulia linakuwa hivyo?

Jibu ni kuwa linatumia fomula ya OPT & OPM, Wamiliki wa Biashara na Wawekezaji wanatumia Other People Time na Other People Money, hivyo mafanikio yao hayategemei ufanyaji wao wa kazi, wanatumia watu wa upande wa kushoto.

Je wewe uko upande gani? Je ungependa kuwa upande wa kulia ili uweze kutumia OPT & OPM?

Ni rahisi sasa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya dunia kuama kutoka kushoto kwenda kulia, tena kwa gharama ndo sana, haijawai kutokea kukawa na DEMOKRASIA YA UTAJIRI (Democratization of Wealth) kama alivyoiita Prof wa Uchumi wa Marekani Paul Zane Pilzer.

Prof Pilzer anasema, “A great opportunity lies ahead, not just for the chosen few, but for literally millions of ordinary people, individual entrepreneurs who were not born into wealthy families, but who choose to apply themselves in the new emerging industries where this new wealth is being created”.

Ikiwa kweli wataka (wachagua) kujiondoa katika kundi la kushoto (umasikini) na kujiunga na kundi la kulia (Matajiri), na waamini kuwa inawezekana fuata kiambatanishi hapo chini.

La kama umeridhika na kundi ulilopo na wadhani haiwezekani kuondoka na umasikini, kwamba wewe ni wa hivyohivyo, ndo ulivyoandikiwa basi waweza ishia hapa.

Bofya hapa uone namna gani hii inawezekana.

November 18, 2010

FLP Biz amazing Opportunity

Asante Rex Maughan kwa fursa hii.
Sasa naweza kuwa home nacheza na waifu lakini pesa yaingia, naweza enda likizo ndefu lakini bado pesa yaingia kwa akaunti, naweza kwenda Mbuga za wanyama, naweza amka saa nne kufanya kazi masaa mawili lakini bado pesa yaingia masaa 24, silazimiki kufanya kazi bali wafanya kwa kutaka mwenyewe still pesa yaingia.
Ni fursa ambayo nadhani nimechelewa kuijua lakini sijilaumu kwa kila jambo na wakati wake.
Thank you Rex Maughan, thank you FOREVER LIVING for the wonderful business opportunity and quality, amazing Products, I can see ALL MY DREAMs are REALITY now.
I really don't regret this, SIJUTIII HATA KIDOGO
Msome Profesa wa Uchumi Paul Zane Pilzer anasemaje juu ya FURSA hii.

FLP Biz amazing Opportunity

Network Marketing Leadership Event

Network Marketing Leadership Event

Financial Freedom! is it POSSIBLE bongo?

Kunradhi Wadau
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi sasa nimebadili mwelekeo wa posts za Bongo pix kwenda kwenye KIPATO na AFYA, si kwa bahati mbaya la hasha ni kwa makusidi mazima.
Naamini hakuna mtu angependa kuwa na afya MGOGORO ama kipato MGOGORO, sidhani kuna mtu apenda kuwa na KIPATO alafu awe na afya mbovu na ama kinyume chake.
Nimekuja kutana na topiki hizi mbili wakti nikifanya utafiti juu ya NDOTO ya kuwa na FINANCIAL FREEDOM, nikafikili biashara gani nianzishe ama niwekeze itakayokuwa ikiniingizia pesa masaa 24 siku 7 za juma ama siku 365 za mwaka bila kujali nimefanyakazi siku hiyo, nimelala ama nakula maisha mbuga za wanyama lakini bado nikawa financially free.
Kweli nimeamini hakuna linaloshindikana ukiwa na nia nalo, hivyo tafiti hizo zoooote na majibu yake zimewekwa pamoja katika HAPA, nakushauri utembelee hapo, jielimishe na pia fanya tafiti zako mwenyewe, ukiona inakufaa na weye basi waweza kuwasiliana nami au yeyote unayemfahamu aliye kwenye mtandao huu.
Biashara ya Mtandao ni mpya sana duniani, na hapa kwetu ni wachache mno ambao wanaijua ama kujishughurisha nayo, lakini kwa wachache wanaojiua vyema wanaingiza mamilioni kila mwezi huku wakifanya kazi kwa uhuru na muda watakao pasipo kusukumwa ama kusimamiwa na mtu yeyote.
Profesa wa Uchumi Paul Zane Pilzer ameandika sana juu ya fursa za biashara hii akisema kuwa ni The Perfect Storm of Opportunity, na huko Marekani toka mwaka 2006 imekuwa inatengeneza mamilionea wapya milioni moja kila mwaka,
Anasema:

A great opportunity lies ahead, not for just a chosen few, but for literally millions of “ordinary people,” individual entrepreneurs who were not born into wealthy families, but who choose to apply themselves in the new and emerging industries where this new wealth is being created.

Sekta kuu mbili ambazo matajiri wapya watatoka hizi:

Two of the strongest emerging industries where this growth will occur are wellness and

network marketing.

Tembelea hapa uone Bill Clinton, Matajiri wa Marekani Warren buffet na Robaki Kiyosaki pamoja na Profesa wa Masoko toka Illinois University Dr Charles King wanasema nini juu ya Biashara ya mtandao or Network Marketing.
Je ndoto zako ni zipi?
Gari nzuri, kuwa na Nyumba ya kisasa, Kuongeza elimu, kwenda Ulaya au ni pesa?
jiulize maswali haya.

At your present rate, how long will it take you to achieve your dream?

Would you like to achieve it sooner?

Are you married to your job, or are you open-minded?

Would it be okay if you earned an extra paycheck each month to help you reach your dream?

If so, then we give you this challenge:

If you are open-minded and would rather achieve your dream sooner than later, then start your dream NOW! Here’s all you need to do:

Use a Combo Pak (which is a variety of our most popular products) and feel the health and beauty yourself!

Show others how to look and feel better by sharing the products with them!

Show others the way to achieve their dreams by sharing the opportunity with them!

It’s as simple as that.

Wherever you dream of going in life, Forever Living Products is a great vehicle for getting you there. Starting in your own home, you can build a business that provides you the time and money to do the things you’ve always wanted to do.

Pana ubaya gani ukiamua kujaribu njia hii kufikia NDOTO zako? jisajiri leo BURE, na kumbuka hakuna mkataba wowote unaokufunga, iwapo utaona haikufai waweza jitoa muda wowote.

Iwapo utapenda kujaribu leo hii wasiliana na CHAMPION yeyote unayemfahamu au nitumie email kupitia: brwebangira@gmail.com kwa maelezo zaidi.

Ten key indicators of a Great MLM/Network Marketing Co.

Ten key indicators of a Great MLM/Network Marketing Co.

1. Quality Products

Look for a company that has a proven, mainstream product line. Quality products are remembered long after gimmicks and fades have faded.

2. No pass-Ups

you should look for a marketing plan that rewards you for your efforts. When some one you sponsored excels in sales you will be rewarded and not passed up.

3. No Demotions

A distributor should not be demoted due to inactivity of sales. Once you have been promoted to a certain level you should remain at that level for life.

4. Bonuses paid on the RETAIL price of the product

Even though you only pay wholesale prices for your products, a quality company will still pay your bonuses on the RETAIL price of the product.

5. Proven Financial Stability

The company’s sales chart should demonstrate their steady growth, sales figures and sales history, ultimately projecting their future trends.

6. At LEAST 5-year minimum industry experience

A well – established MLM will make it past the crucial first 5 years with solid management, a strong business plan, motivated distributors and quality products.

7. Multi income Opportunities

A variety of income opportunities should be offered to you, along with the advantages of working on your own schedule, either part or full time and working from home. you should enjoy the multiple opportunities to earn money, such as profit sharing and earned incentive bonuses.

8. Consumamble Products

consumable products help you to easily build a base of loyal customers wanting to regularly purchase replacement products. an active consumer base is the key to a successful MLM and can only be built on QUALITY consumable products.

9. Extensive Support Network

Your company should offer extensive support, from training seminars and materials, to incentives and helpful staff, at the regional, national and International levels. Remember, your success directly affects the MLM’s success.

10. International Presence

A company with a multiple-year track record that is established around the world shows growth, reliability and quality products. Most companies that venture internationally are stable and have ample industry experience.

tembelea hapa na hapa kwa maarifa zaidi

November 11, 2010

Network Marketing is studied at Harvard

The good news is that, you don'n need to go to Harvard or USA to join it, one of the leading Network Marketing company is here in Tanzania,
if you want to join and start building your secure future with better HEALTH and more WEALTH please inbox me or
visit this FLP BIZ web and fill in the contact form.

November 10, 2010

welcome to the Business for 21st Century

Network marketing is extremely powerful as it can allow you to create true freedom and a lifestyle of your dreams. And there is no better time to start a business in this industry than now, in this new economy.
for more information please visit aloeverabenefits

November 6, 2010

Hizi ndoto nazo!!1

Usiku nimeota, ngoja hivi kuna ubaya kumuhadithia mtu ndoto yako? Kama upo mtanisamehe, maana hataYusufu wa biblia (Bwana Ndoto) asingehadithia nani angekumbuka baada ya ndotoze kuwa kweli?

Basi usiku nikaota tunazungumza mimi na mimi mwingine, yaani nafsi mbili ndani yangu zinabishana kuhusu yaliyotokea mchana wake, tukiwa tunapata Aloe Vera juice pale sebureni, sijui kama na wengine inawatokeaga hii ya mtu mmoja kujiona mko wawili au zaidi na kuanza kubishana ama kupingana katika jambo Fulani, sijui.

Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:

Mimi mwingini (MM): Duh kumbe kupiga kura huwa ni kwa zamu hapa bongo? Wale wazee wa SHINGO wana akili sana.

Mimi (M): Unamaanisha nini? (Maana ni kawaida yetu bongo kujibu swali kwa swali, si ndio?)

MM: Tena wale wazee waongezewe miaka mpaka ifike 50,

M: Mbona sikuelewi?

MM: Eeeh waongezewe ifike kama miaka ya Chama Cha John.

M: Mhh Chama Cha John? Ndo Chama gani? (Nikakumbuka mhariri wa gazeti moja pale lugoda.)

MM: Kwani wale SHINGO wamesema watu wangapi wa kupiga kura?

M: Si walisema ni Milion ishirini! Kwani vipi?

MM: na walioenda ni wangapi?

M: wamesema ni milioni nane, (huku najiuliza anaelekea wapi huyu)

MM: na mwaka uleee walipiga wangapi?

M: upi, wamaanisha 2005?

MM: Enhee huo huo,

M: Mhh sikumbuki vizuri sijui kumi na ngapi vile!

MM: ni karibia kumi na mbili milioni.

M: Aahaa, ok, sasa wasemaje? Maana naona wanzeveza tu, (Nikamswali kidogo maana naona ananipotezea)

MM: yaani we ujaona kitu hapo, ujaelewa bado? Ndo maana ulikuwa unapishana na mwalimu wa hesabu mlangoni weye.

Hapa ilibidi nihamaki kidogo kwani niliona sasa tunavunjiana heshima, maana wife nilimwambiaga mi ni mkali wa mahesabu na skuli nilikuwa naongoza na Junia anajua hivyo sasa huyu MM anataka kuniumbua, haiwezekani wacha nimkomeshe akalale.

M: we hebu koma kabisa mambo ya shule na haya unayonieleza yanauhusiano gani? Ka umelewa na hiyo AV juice si ukalale tu.

MM; akasogea karibu kabisa katika kochi nililokaa akanihonesha hesabu alokuwa anapiga.

MM: hebu angalia hapa, hii ni 20 ukitoa 8 si inabaki 12?

M: Ndiyoooo bwana sema unachomaanisha, (nikawa mkali kidogo, ati najikalikia mwenyewe)

MM: sasa hapa si inamaana waliopiga 2005 yaaani 12 hawajapiga mwaka huu, kwa hiyo watapiga tena kura 2015 na waliopiga mwaka hawatapiga 2015 mpaka 2020.

M: hapana we ujaelewa, hii ni idadi ya mwaka huu, ndo makadirio yake na sio ya mwaka 2005.

Ikabidi nijaribu kumfafanulia MM, akukubaliana nami, nikamweleza kuwa hakuna kitu kama zamu, bali kila mtu akifikisha umri wa kupiga kura anajiandikisha wakati ukifika anapiga kura, na kuwa mwaka 2015 watu watakuwa wengi zaidi ya hao, (Labda watakuwa au hatakuwa wengi maana nami sijui pia) kwa hiyo hao 12 hakutokea tu mwaka huu, wamekacha, labda wameogopa mabomu.

MM: Haiwezekani, mi nilienda saa kumi na moja na nikakuta watu washajaa, mabomu gani unayosema?

M: sisemi kuwa yalipigwa, bali najaribu kuwaza tu.

MM: mi nasema sio kweli, kwanza mwaka ndo watu wangekuwa wengi sana maana kila tulikokuwa tunapita wimbo ndo huo huo “JITOKOJENI” sasa iweje wasijitokeze?

M: we si wajua wabongo walivyo wagumu, (hapa nshachoka natamani kwenda kulala)

MM: au ile sunami ya kule visiwa vya mbali ilipiga wapiga kura wetu?

M: sio rahisi ni mbali sana kule.

MM: sasa ni kimetokea?

M: Sijui bwana,

MM: au ni wale wanafunzi waliolikizo? Au kina baba mmewazuia wake zenu kupiga kura kama kule mji wa mawe?

M: bwana we sikiza, mi nilienda na waifu sawa, afu wanafunzi hawafiki hata laki sembuse million.

…mara ghafla naamshwa na waifu, naulizwa

W: haniii! nikutengenezee supu ya pweza au? (Maana supu hii utengezwa siku ambayo sitoki home, sababu? Anajua mwenyewe)

M: Ndio, aaah hapana, vifaa vyangu viko wapi?

W: vifaa waenda wapi tena?

MM: Si kibaruani, hujui mwenye nyumba anakula kichapo aaah no kiap oleo?

W: we unaota Mwaka wa 2 huu ujaendaga huko leo iweje?

M: aah shit, nikakumbuka kumbe sikuizi siitaji kukurupuka tena alfajiri, naweza panga muda na siku ya kufanya kazi ama kupumzika na na bado naingiza mahela kama kawa, naweza amua cheza na waifu kutwa nzima na bado Rex Maughan anaingiza pesa kwa akaunti yangu na waifu na bizinesi yaendelea mtandaoni, masaa 24 siku 7 kwa mwaka!

Ningali nawaza ndoto ile ina maana gani?

Ndoto nyingine bwana!!!

Asante yesu.

November 5, 2010

Ushindi wa KISHINDO

NEC imemaliza kazi muda si mrefu kwa kumtangaza Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kuwa mshindi wa kiti cha Urais 2010 - 2015 kwa ushindi wa kishindo asilimia 61.17 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Dr Wilbrod Slaa.
Tume iritarajia wapigakura Milion 20 lakini waliojitokeza ni asilimia 42% tu yaani Milion 8, wapigakura hawa hawafikii idadi ya waliopiga kura mwana 2005 kama takwimu zinavyoonesha hapo juu.
Je nini kimetokea? kuna ugonjwa gani wa ghafla umewapata watanzania ata wasitokee kupiga kura? Je idadi hii ya watu waliojiandikisha ina walakini? NEC watakuwa na majibu na pengine maswali mengi zaidi ambayo yatazidi kuibuka kuhusiana na hili.
Nampongeza Mh JK kwa kupata nafasi ya kuongoza tena ama kumalizia kipindi chako cha pili kwa mujibu wa katiba. Hongera sana na MUNGU akubariki katika utekelezaji majukumu yako.

A Snake May Have Biten You, But You Didn't Die, Still Here - T.D. Jakes

November 3, 2010

Toa tafsiri yako mwenyewe

Pia yaongea maneno elfu moja na ushee, je hii yaongea nini?

Zanzibar Mpya in the making

Chaguzi zipatazo tatu zilizopita huko Zanzibar kipindi kama hiki ilikuwa ni mshikemshike, hakukaliki, hakulaliki lakini sivyo ilivyo kwa uchaguzi wa mwaka huu, huko nyuma hukuwai kushuhudia wagombea kukaa pamoja kusubiri matokeo, zaidi kumpongeza aliyeshindwa, haikuwai kutokea, isipokuwa mwaka huu, kumbe tukiweka ubinafsi nyuma na kutanguliza utaifa haya yanawezekana.
Pongezi kwa Maalimu Seif kwa kukubali kiuungwana na pia Dr Shein kwa kuchaguliwa na pia kuwa tayari kufanya kazi na upinzani.
Sote twangoja kuona Zanzibar mpya yenye amani na utulivu zaidi yenye neema tele.

November 1, 2010

Chonde chonde NEC, Wagombea na vyama

Baada ya miezi zaidi ya miwili ya kampeni na hatimaye kuhitimishwa kwa Watanzania kupiga kura na hatimaye kuanza kuhesabiwa hapo jana kwa hali ya amani na utulivu kama ilivyodesturi yetu, jukumu pekee limebaki kwa Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC katika kujumlishwa na kutoa na kutangaza matokeo rasmi na halali kwa kadiri yanavyopokelewa.
Pamoja na jukumu hili zito la NEC lakini jukumu kubwa pia liko kwa wagombea na vyama vyao pia, vyote kwa pamoja vinadhamana kubwa sana katika kuamua mustakbari wa taifa letu na kudumisha amani, katika ushindani wowote unaohusisha watu wawili au zaidi kuna kushinda na kushindwa, na wote wanaoingia katika ushindani wanatambua hilo.
Hivyo basi katika kipindi hiki ambapo tunasuburia kumalizika kwa zoezi zima la uchaguzi mkuu, kwa maana ya kutangazwa kwa matokeo rasmi, ni vyema viongozi, wagombea, vyama na wafuasi wao kuwa makini katika maamuzi yao mara baada ya kutangazwa matokeo rasmi, kwa uzoefu wa chaguzi nyingi hasa barani Afrika hiki ndicho kipindi kigumu kuliko vyoote vilivyopita, hapa ndipo uvumilivu na ukomavu wa kisiasa unatakiwa kuoneka.
Kushinda ni kuzuri na kushindwa si kuzuri, lakini yote ni matokeo tarajiwa katika ushindani wowote ule kama ilivyoelezwa mbeleni, ni vigumu sana kukubali kuwa umeshindwa pale ambapo unaamini kuwa umeshinda lakini mwisho wa siku ni lazima awepo mshindi, hivyo basi rai yangu kwa wagombea wooote kuonesha ukomavu wa kukubali matokeo yatakayotangazwa kwa moyo mnyoofu kabisa na kupeana mikono na mshindi, kwani hii ni siasa tu, ni uchaguzi wa mara moja kwa miaka mitano, ukishindwa sasa waweza jaribu tena.
Ni vyema pia wagombea wale watakaoshindwa wakasikiliza sauti za dhamiri zao ndani yao, wakatafakari mustakbari wa Taifa na maslahi yake badala ya maslahi binafsi kabla ya kusikiza ushauri wa wapambe, jamaa, ndugu na hata wake zao ambao wanaweza kuwashauri vinginevyo na kujikuta anapelekea taifa hili kusiko tarajiwa, mifano tunayo mingi tu na sehemu nyingi, jirani zetu ni mfano hai wa yale ambayo yalitokea katika kipindi kama hiki.
Pamoja na rai ya kuvitaka vyama na wagombea kukubali matokeo kwa moyo mmoja lakini ni vyema NEC ikaweka mazingira ya wagombea kukubali matokeo hayo kwa kuwa wawazi zaidi ili kutoa mwanya wa mtu kuhisia jambo, japo ni vigumu kuridhisha kila mmoja lakini kwa kuweka mambo wazi zaidi kunazuia uwezekano wa mtu kuwa na mashaka.
Tukumbuke kuwa uchaguzi, wagombea, vyama, tume, nk vitapita lakini Tanzania itaendelea kuwepo vizazi na vizazi, maamuzi yoyote katika woote hao maslahi na mustkbari wa TAIFA ndo ututangulie. chonde chonde NEC tupitisheni salama katika kipindi hiki tete.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Picha na lifetime blog

October 29, 2010

Rejesha Heshima kwa room, Forever Multi Maca helps with Erectile Dysfunction

Forever Multi-Maca

This Peruvian herb has a 2000 year history as a powerful enhancer of libido and stamina. It has no known side effects and can provide a variety of benefits for both men and women which include increased energy and a reduction in stress.
  • Peruvian herb with 2000 year history as a powerful enhancer of libido, known as the sex herb of the Incas
  • Helps to maintain stamina and prevent fatigue
  • Helps to alleviate menopausal symptoms and reduce stress
  • A natural hormone replacement therapy

October 24, 2010

Can You Make Money with FLP?—A Review of Forever Living Products

Can You Make Money with FLP?—A Review of Forever Living Products
Je ni kweli waweza ingiza kipato kwa kupitia biashara ya mtandao Forever?

The reality has been overwhelming. FOREVER is today a multi-billion dollar company doing business in over 140 countries. It is also the world’s largest grower, largest distributor, and largest manufacturer of Aloe Vera.

From its International Headquarters in Scottsdale, Arizona, Rex Maughan, founder and CEO of FLP now directs the activities of the over 9.3 million distributors, who enjoy the support, tools, and guidance that they require to live healthier lives and grow their businesses.

Their products include Aloe Vera drinks, Aloe-based skin care products and cosmetics, as well as a full line of nutritional supplements and bee hive products. FLP boasts of a complete system for naturally achieving better health and beauty—and a fat purse, too.

The opportunity—FOREVER marketing plan

The caliber of FLP’s range of products and the simplicity of their business plan has remained the major attractions for many who decided to give it a try.

Indeed, some started out as customers merely in search of better health products, then became satisfied customers, and ended up FLP distributors. Others saw the business potentials right away and started building successful distribution chains.

Whatever their initial reasons for getting involved with the company’s products, the results was the same: their businesses flourished, and they began to help others to become healthier and wealthier.

for more visit FOREVER website.

Distributor ID 255000182823

October 23, 2010

Robert Kiyosaki recommend Network Marketing

Distributor ID 255000182823

Robert Kiyosaki changed HIS thinking.

Robert Kiyosaki was intrigued and opened his mind. He researched the network marketing, MLM and direct selling industry and determined that it is a legitimate, low investment way to enter into the buisiness arena.

In addition to that, it is a very compassionate business and supports people in the learning stages. He found that network marketing is truly an equal opportunity business and the most fair method of distribution.

Read more

One of the most recommend is FOREVER and the best thing is you can join it online for free via ID above.

Robert Kiyosaki recommend Network Marketing

October 22, 2010

Top Ten reasons to drink Aloe Vera Gel

5. Antiviral activity.

Within the mucilage layer of the leaf which surrounds the inner gel there is a long chain of sugar or polysaccharide. This has the capability of being able to help us defend against attacks by various viruses, from the common cold to the more nasty viruses and could even balance your immune system.

4. Anti – inflammatory and painkilling effect.

Among the substances that have been identified in Aloe Vera are several that are naturally anti – inflammatory and painkilling. People who take it regularly often find that inflammatory conditions are greatly benefited.

3. A useful source of minerals

Some of the minerals found in Aloe Vera include calcium, potassium, iron, chromium, magnesium, manganese, copper and zinc. This is because the plant tends to grow in areas where soils are rich in these minerals and its roots are able to absorb and deliver them to us in a very available form.

2. A useful source of vitamins

Aloe Vera Gel contains a large range of vitamins- even trace elements of vitamins B12, which is rarely found in plants. Apart from vitamin A, it contains B- group vitamins, vitamin C, Vitamin E, and folic acid. The body cannot store many of these vitamins so we need to constantly top them up from the food that we eat. What better way than by drinking a daily amount of Aloe Vera Gel while at the same time building up the body’s defense system against oxidative stress naturally?

And my number one reason for drinking aloe Vera Gel is…..

1. A general tonic for good health

By drinking Aloe Vera Gel with all its important ingredients (often now deficient in food) including 19 of the 20 amino acids needed by the human body and seven of the eight essential ones that just cannot be made, the body is able to get enough to allow complex enzyme systems to work really well. this means the body can function at 100%. the net result to the individual is a wonderful feeling of wellbeing.

As you can see from these 10 reasons taken daily- either alone or mixed fruit juice or our other wonderful antioxidant product Pomesteen Power – Aloe Vera Gel is one of the best nutritional available!

Photostory

May be one day our papers will be publishing Photo documentary this way or at least one like this, I hope so.

October 21, 2010

Cheka unenepe, uongeze siku za kuishi

Top Ten reasons to drink Aloe Vera Gel

Sababu kumi za kunywa Aloe Vera Gel

10. Effect of the gut

Aloe Vera has a wonderfully beneficial action on bowel function, which results in smooth and efficient transit of contents, often eradicating inconvenient colicky pain.

9. Assist in healthy digestion

A healthy digestive tracts ensures the nutrients from the food we eat absorbed into the bloodstream. There is clear clinical evidence that by drinking aloe Vera Gel the bowel is able to absorb these nutrients more efficiently especially protein. I also suspect that many other substances are much better absorbed under its influence.

8. Effect on gut flora

Aloe Vera is a natural ‘balancer’ in many areas and nowhere more so than inside the gut, where it tends to regulate the various bacteria and yeasts that inhabit it. For example if a person were to suffer with too much yeast in the gut, regular ingestion of the gel would tend to reduce this overgrown. The same can be said of the more unfriendly bacteria that can accumulate in certain conditions.

7. Effect on the skin

When they are first produced deep in the epidermis, skin cells are rather large and very much alive, but by the time they reach the surface after 21 – 28 days (in normal skin), they are a shadow of their former selves and are transformed into just thin flakes of keratin which eventually fall off. Aloe Vera Gel provides the essential nutrition to feed the basal cells. There fore the skin remains healthy and is able to perform its vital functions more efficiently as well as looking much better.

6. Increases the activity of fibro blasts.

Fibroblasts are specialized cells found in the skin. Their job is to produce fibre such as collagen and elastin. These fibres give the skin its structure and of course, make it look plump and elastic. The more you have, the younger skin may look.

By Dr Peter Atherton’s MB ChB, DObst RCOG, FRCGP and Actvisory Board Member.

These are five out of ten reasons watch out for more here, for more information visit Forever Living website, you can also buy this or any other product online.

when buying online remember to quote referring Distributor ID no 255000182832

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...