March 3, 2009

JK akutana na Nishati na Madini

Ris JK akiongoza kikao cha kazi,ikulu jijini dar na wakuu wa wizara ya nishati na madini na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kama shirika la mafuta ya petroli (TPDC), mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA), shirika la umeme tanzania(TANESCO) na wakala wa umeme vijijini leo.

Reheme Mwakangale atunaye tena!!

Mwandishi na mtangazaji wa ITV/Radio One Rehema Mwakangale (kulia) ametutoka leo asubuhi katika hospital ya Mikocheni alikokuwa amelazwa. Kwa Mujibu wa taarifa kupitia Radio One, mipango ya mazishi itakuwa kwa bibi yake Sinza karibu na Deluxe bar.

Mola ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA

PINDA UK

Mtoto wa Mkulima Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitiastori nabaadhi ya watanzania waishio nchini Uingereza kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini London na baadaye kupata snap ya pamoja na watumishi wa ubalozini jana.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...