March 3, 2008
KARIBU KWENYE FANI
Hapnshaka Mh. baada ya kustaafu UN na sasa Upatanishi innji jirani sasa katibu mkuu wa zamani Annan anataka kujiunga na fani, karibu sana ujachelewa mi niko tayari kukupa darasa la bure kabisa,
ila wadau wanadai eti umewanyima watu kadhaa wenye kazi zao ridhiki kwa kujipigia mwenyewe snap ya nairobare.
NENO LA LEO
For my thoughts are not your thoughts, neither are your ways my ways," declares the LORD. "As the heavens are higher than the earth, so are my ways higher than your ways and my thoughts than your thoughts.”- Isaiah 55:8-9
USHIRIKA LAUNGUA MOTO
Sehemu ya Jengo la Ushirika Mtaa wa Lumumba imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kwa baadhi ya wajasiriamali ambao walikuwa na ofisi zao upande huu, bahati nje moto haukufika upande wa jengo kuu ambao ndio mkubwa ukiwa na maofisi mengi muhimu ikiwapo benki ya CRDB na BRELA.
yaamikika kuna sefu ina mafweza hapo jamaa wanapongangania kukata na grenda.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
It has been a while now that my life had taken on a sense of expectation. It has been almost 3 months since I met Russell Simmons at a char...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
Gadhafi na Obama With reported pockets of fighting remaining in Tripoli on Wednesday, the whereabouts of Lib...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
Katuka mila nyingi za kiafrica ama kibantu ni utovu wa nidhamu kumwita mkubwa wako MWONGO ni kitendo cha dharau, nami nisingependa kabisa ku...