Mpambano wa watani wa Jadi utachezwa muda c mrefu, mashabiki na wapenzi wa timu zote viroho viko juu kwa mpambano huu, japo ni wa kombe la Tusker lakini wakutanapo watani hawa wa jadi huwa hakuna cha mechi ya kirafiki wa cha nini kwa timu mbili hizi ni kama fainali tu.
Yetu macho tu na Dakika tisini ndo mwamuzi, tofauti na mechi zote hii ni lazima afungwe mtu, yaani hakuna droo hapa. kaaaaaazi kweli kweli.
No comments:
Post a Comment