Dada Janeth Tesha alikuwa Mhitimu pekee wa Dgrii ya Uzamili ya Sayansi ktk Uhandisi Nishati Umeme au Masters of Science in Electrical Power Engineering. Hawa ni Digrii ya Biashara (Bachelor of Commerce) walikuwa 543.
wakti fani kama hizo za uhandisi na hasa za umeme zilikuwa na mtu ama mmoja au saaaana watatu, ktk fani nyingine kama hii ya Biashara wahitimu walikuwa lukuki.
TUJADILI WADAU:
for Science and Technology era we are in, what does this mean?Je kwa mtazamo na mwenendo huo hapo juu wamaanisha nini kwa mustakbali wa taifa letu ktk karne hii ya sayansi na teke linalotujia?