July 5, 2008
MWL MWAKASEGE KUTOA SOMO UK
MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER
MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA:
READING UK 08-10 /08/ 2008.
Jumuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.Mwlm Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu.
Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.MATARAJIOWenye shida za kiroho, nafsi, mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu.Mafundisho ya namna ya kujikomboa kiuchumi kwa mujibu wa neno la Mungu yatafundishwaNyimbo za Injili kutoka Mwanamziki wa Injili Fanuel Sedekia kutoka ArushaTimu ya Injili na uimbaji kutoka Norway inatarajiwa kuwepo.
Huu utakuwa wakati wa baraka sana jitahidi usikose nafasi hii ya pekee na Mungu atakubariki.ANWANI YA UKUMBIRivermead Complex Leisure Centre,Richfield Avenue, readingBerkshire, RG1 8EQMikutano itakuwa inaanza asubuhi saa nne paka saa moja jioni kwa siku zote tatu.
MAELEZO ZAIDI:
Wasiliana na /Reading Lillian 07846700927,
Birmingham-07776358464 Jackson Kapama,
London 07817479845 Elias Mwema,
Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno,
-Brighton,07950324330 Joyce Jacob.
Southampton 07717435287 Sekela Komba07944632826./ Rev, Emmanuel Chatawe-Mwenyekiti07983615387 /
Timothy Kyara-
Katibu mkuu.
KARIBUNI WOTE.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
It has been a while now that my life had taken on a sense of expectation. It has been almost 3 months since I met Russell Simmons at a char...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
Gadhafi na Obama With reported pockets of fighting remaining in Tripoli on Wednesday, the whereabouts of Lib...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
Katuka mila nyingi za kiafrica ama kibantu ni utovu wa nidhamu kumwita mkubwa wako MWONGO ni kitendo cha dharau, nami nisingependa kabisa ku...