Rais Jakaya Kikwete ametangaza Maombolezo ya Kiataifa ya siku saba kufuatia kifo cha Waziri Mkuu msataafu Mzee Rashid Mfaume Kawawa ambapo bendera bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Mipango wa mazishi wa mpendwa Mzee wetu bado inaendelea na taarifa zitatolewa muda si mrefu.
No comments:
Post a Comment