February 23, 2007

Hatimye Dalali wa mahakama wakapewa kazi ya kumuondoa Mzee Msenga ndani ya nyumba na kukabidhi nyumba kwa yatima wale wanne.
Bwana huyu alijiita Seif Ngwinye aliyeuza nyumba kisha wakili wa ngwinye baada ya watoto kudai kuwa siye ngwinye. huyu ndo alikuwa mshauri wa mnunuzi Shaban Msenga.
Mahakama ya wilaya Temeke iliamuru kurudiwa tena kwa shauri la Mirathi ktk Mahakama ya Mwanzo na kuwa nyumba irudie ktk hali iliyokuwa mwanzo au "Status Quo". tatizo likaja kwa mnunuzi kuhama, paomja na amri ya mahakama ilichukua siku zaidi ya tano kumuondoa pamoja na kwenda na polisi.
kila mara Sunday News gazeti dada na Daily News lilifuatilia kwa karibu majariwa ya yatima hawa baada ya kutupwa nje ya nyumba yao.
Sunday News iliamua kufanya follow up kwa kutoa habari hii ili jamii ione na itambue yaliyofanyika hasa dhuruma kwa watoto na wajane, hatimaye mahakama ya wilaya iliamua kuitisha shauri ili na kupitia upya.
Habari hii haikuwafuraisha wengi hasa mwanaharakati Mama Mwenda ndipo akaviarifu vyombo vya habari na kuanza kuandika habari hii, hasa Daily News, RTD na Uhuru.
Mama huyu alijitolea kuishi na mmoja wa wajukuu wa Bibi Hidaya mbali ya kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha ktk chumba hiki.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...