May 27, 2007

Japo kuwa wanasema ni moja ya mji Tajiri duniani, na wadogo pia wamo kama huyu anaishi kwa kburudisha watalii ka sisi na kamziki kake.
Kaustaarabu ka usafi kwa kweli wanako sana, shabiki huyu wa Stuttgart aenda angalia fainali, hawa ndo wanasemikana ni wahuni lakini kwa usafi wa mji hakuna cha uhuni wala nini
Chingas hata ulaya wapo, ila wametengewa maeneo maalumu ya kufanya biashara zao.
Hapa ndipo Chansela wa Udachi Mama Anjela anaishi na kufanya kazi au kwa kule home hapa ndo Magogoni. Ikulu.
Inahudumia aina zote za treni hapa Berlin pia ina level tano, yaan ngazi 5 za reli matreni yapishana kuliko vihiace vya Dar bila Ajri.
Hii ndio stesheni kubwa kuliko zote ulaya, imefunguliwa mwaka jana Mei.
Tuangalie mji wa Berlin kwa kifupi Jii ni moja ya usafiri wa jumuiya ambao nyia zake zimepita ktk barabara za magari, yaani ni reli katikati ya barabara.
Usalama huko imara hapa

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...