“Humble yourselves before the Lord, and he will lift you up.” - James 4:10
January 26, 2011
January 24, 2011
Ujumbe toka kwa Barack Obama
Hii kweli Dunia Kijiji,
Kwa kitambo sasa mimi na Barack Obama Rais wa Marekani tumekuwa tukiwasiliana kimtandao, yaani email na facebook, nimekuwa nikupata jumbe nyingi sana toka kwa Rais Obama na nikiuliza lolote uwa anajibu pia kupitia njia hizo.
Kwa umaarufu alionao Rais Obama duniani naamini kuna watu wengi sana ambao wanawasiliana, lakini kwa majukumu aliyonayo kuweza kupata muda (au wasaidizi wake) kujibu email sijui million ngapi kwa siku! hakika huyu ni rais wa karne ya ICT.
January 22, 2011
January 21, 2011
Kisa cha Ngombe, Mzee na mtoto mwenye hekima
Niliwai kusoma hadithi hii mahali fulani, kwa bahati isiyo njema sikumbuki ni kitabu gani, anyway hadithi yenyewe iko hivi:-
Mzee mmoja mfugaji akiwa na mwanae mdogo alikwenda kuchunga mifugo yake wakiwamo Ng'ombe kadhaa, katika kundi lile ng'ombe mmoja alizaa kandama hukohuko polini, ilipofika jioni ilibidi kuwarudisha mifugo yake zizini, wote waliongoza njia isipokuwa yule ngombe na ndama wake, ndama yule baada ya miguu yake kupata nguvu alikuwa anarukaruka tu kule polini.
Mzee yule alikuwa akiangaika kumchapa ngombe mzazi ili aongoze njia ya zizini lakini ngombe yule hakuwa tayari kwani ndama alikuwa bado akivinjali polini kule, Mzee aliangaika kwa kitambo bila mafanikio huku mwanae akimwangalia tu.
Mwishoe mtoto akamshauri babaye, akamwambia- "Baba kwanini usimbebe yule ndama? kwani mamaye atakufuta tu"
Mzee akumwelewa kwanza mtoto wake aliendelea kidogo kumlazimisha ngombe wake, mwishoni akaamua kujaribu kufuata ushauri ule lakini kwa namna ya kujifanya yeye ndo kaamua, akambeba ndama na hatimaye ng'ombe naye akamfata mpaka zizini.
Jambo lile la kushauriwa na mtoto wake tena wa miaka kumi tu lilimkwaza sana mzee yule alifikiri saaana mwishowe akafanya kitendo cha kijinga, akaamua kujinyonga, kisa, kushauriwa na mtoto mdogo.
Sitarajii baba zetu nao watafanya kitendo cha kijinga kama cha mzee mfugaji yule, sitarajii, nina hakika baba zetu leo hii wanabusara sana, wataona ushauri wa mtoto ni changamoto ya kujitafakari na kuamua kwa busara zaidi sasa na wakati ujao pi.
Hongereni sana VIJANA kwa kukataa kukaa kimya.
January 18, 2011
Kampuni gani inatoa gawio kama hili???
On Friday, 14th May, 3,000 Distributors from across Africa joined together to celebrate their successes with Forever Living Products at the African Rally 2010 event.And what was phenomenal about the weekend? Perhaps it was the huge amount of recognitions that demonstrated the staggering growth in Africa over 2009, and the sheer dedication and commitment of the African Distributors over this period.With 200 New Managers recognised, 63 Senior Managers, 18 Soaring Managers, 14 Sapphire Managers and 2 Diamond Managers, there is no doubt that things were happening in Africa last year.Perhaps it was the 208 cheques offered for Distributors who qualified for Profit Share? With $2,117,668.61 given away through the incentive, Distributors received Profit Share cheques that ranged from $3,000.00 to a whopping $250,000.00 and above!Perhaps it was the many dynamic entertainment acts; the thought provoking testimonials; the informative trainings from Top Distributors from across Africa, and even from across the globe? Whatever made the African Rally phenomenal, it was yet again another event that reflected the high energy that lies beneath the Company, and its power to change people’s lives for the better.The location for the next African Rally was revealed. In May 2011, qualifying Distributors will be jetting off to Cape Town! For more information
- Justina Ekperigin & John Ekperigin $264,325.21
- Sebastiao Joao Manuel & Feliciana Joäo $256,018.16
- Thabani Jabulani Biyela & Nombuso Biyela $209,445.33
- Alphonse Chilato $147,439.38
- Baeni Simon-Pierre Muhiirwa & Dede Mbunzu $135,027.90
- Kikelomo Aiwainehi Apeji & David Omeiza Apeji $89,734.11
- Adewale O Oyemade & Susan S Oyemade $81,631.47
- Laurinda Cassuamo Nelumba & Noémia Dinis $59,685.52
- David Kavuanda Jimba & Reen Mishack Kavwanda $45,703.86
- Maria G Idigo & Clement U Idigo $40,821.66
My take:
Ni kampuni gani inayotoa gawio kubwa kiasi? wengi wetu tungali na mashaka juu ya fursa hii au pengine ni waoga tu kujiunga nayo, tukiogopa kuibiwa na hasa tukikumbuka matapeli waliopita, kwa kitambo sasa nimekuwa nikiitafiti fursa hii nimegundua ya kwamba ni kweli yeyote anaweza kuifanya na kufanikiwa.
Nimefanya tafiti zangu kwa muda mrefu kidogo, ikiwa wapenda kufahamu zaidi nitumie email au nipigie kwa namba hapo juu.
January 7, 2011
Beyond the obvious: Behind the scenes shooting a photo story
Beyond the obvious: Behind the scenes shooting a photo story: "Colourful fishing nets in Fuengirola harbour. What goes on in the mind of a photographer shooting a photo story? I thought some readers may ..."
DOWANS (T) Ltd OWNERS!!
THE National Power Utility company (Tanesco), will have to pay Dowans Holdings SA (Costa Rica) the sum total of 94bn/- following recent ruling by the International Court of Arbitration, the government has announced.
Addressing media conference in Dar es Salaam on Thursday, the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja, said the amount was way below the much publicised figures that stood at 186.5bn/-.
“The decision is painful to all of us (Tanzanians) but since the contract was legally binding and the decision was not in our (government) favour, the payment will have to be honoured,” Ngeleja explained.
However, the minister was explicit on the pre-condition leading to the payment to Dowans saying that the legal requirements and the nature of contract signed required that payment(s) would only be honoured after registration of claims at the High Court of Tanzania.
Asked why not file an appeal for further legal battle and possibly avert the staggering loss, the minister said after consultations with legal experts including the Attorney General, Mr Frederick Werema, it was decided that appeal for the case was not an option.
The minister also made public names of six directors of Dowans Tanzania Limited. According to official letter Reference Number MITM/ RC/58550/22 from the Business Registration and Licensing Authority, BRELA, dated January 05, 2011, the directors are Andrew James Tice (Canadian), Gopalkrishnan Balachandran (Indian) and Hon Sung Woo (Singaporean). Others are Guy ArthurPicard (Canadian), Sulaiman Mohammed Yahaya (Omani) and Stanley Munai (Kenyan). Asked how come the entire list of directors comprised of foreigners while investment procedures require local partnership, the minister said the power crisis was not planned for and the entire project was handled with urgency and the crisis could not wait for identification of local partners.
It was explained that the directors of Dowans Tanzania Limited operated under the framework of the percentage of share holdings such that Dowans Holdings S.A (Costa Rica) has 81 shares while Portek Systems and Equipment PTE Limited owned 54 shares. Source: Daily News
January 6, 2011
Makamu yu mapumzikoni Serengeti park
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal kulia, akizungumza na Mmiliki Mkuu wa Mahoteli ya Kempinski Bw. Al-Bwardy Ali mwenye Makao yake Nchini Dubai, alipokutana nae leo kwenye Hoteli ya Bilila Lodge Kempinski iliyopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mbuga za Wanyama Serengeti. Makamu wa Rais yupo katika Hifadhi ya Taifa ya Mbuga za Wanyama Serengeti kwa ajili ya mapumziko mafupi.
(picha na VPO.)
January 5, 2011
Kumekucha A Town, damu yamwagika maandamano ya CHADEMA
Viongozi wa juu wa CHADEMA, wakiongowa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe (Watano kulia) na katibu mku, Dk.Wilbroad Slaa(Wasita kulia) wakiongoza maandamano yaliopigwa marufuku na polisi jana mjini Arusha.Hatimaye polisi iliwatolea uvivu na kuwapiga kwa mabomu ya machozi. Habari zaidi zaeleza kuwa Mbowe anashikiliwa na polisi.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Dk.Wilbroad Slaa, Josephine akiwa ametapakaa damu baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kipigo na polisi wakati wakivunja maandamano ya viongozi na wanachama wa chama hicho yaliyofanyika mjini Arusha jana.Katika maandamano hayo watu kadhaa walijeruhiwa baada ya kupigwa na pilisi wa kutuliza ghasia.
(Picha na Paul Sarwat)
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Prof Aloysius Mwessa Hnonoli ni Mbongo wa kwanza kuwa Mkurugenzi wa Muhimbili na Mkuu wa Chuo kikuu cha Tiba. Mstaafu huyu jana alitu...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
Mineral occurrence in Tanzania by TMAA UONGEZAJI WA PATO LA MTANZANIA Mheshimiwa Spika, 46. Lengo la Dir...
-
Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion...
-
Ukumbi huko nyuma ya Minara miwili ukiwa ni wa mviringo. Eneoe kubwa la chai na ukaguzi pamoja na usajili kwa waalikwa. Sehemu za waa...