April 25, 2009

Chakachaka amchezesha gwaride Afande

Balozi wa Mapambano na Ugonjwa wa Malaria Barani Afrika Mwanamuziki toka bondeni Vyonne Chakachaka akimhamaisha askari polisi kucheza muziki wakati alipotumbuiza kwenye maadhiisho ya siku ya malaria duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa uhuru mjini Mtwara.

JK "Bungeni" Botswana

Rais JK akiwa na mwenyeji wake rais wa Botswana Luteni Generali Seretse Khama Ian Khama wakiwa chini ya mti ambao hutumika na wazee wa jadi wa botswana kwa ajili ya kupanga na kutoa maamuzi mballimbali katika jamii yao ijulikanayo kama Kgotla (bunge), na msosi maalumu wa nyama ya kuponda ya asili iitwayo Setswa, ambayo hupikwa na kuliwa na wanaume pekee.(aliyekaa kulia kwa rais ni kgosi au chifu tawana moremi na aliyekaa kushoto kwa jenerali khama ni naibu waziri wa botswana mhesh. G. Matlahabaphiri.)

WANAMICHEZO BORA 2008 WATUZWA

Mshindi wa jumla mwanariadha mdogo kuliko wote Mary Naali akitoa neno la shukurani.
Maafisa wa Mabenki Hocye Temu (Standard Chtrd) na Shyrose (NMB) walikuwepo kushuhudia.
Wanamichezo bora 2008
Meneja Uhusiano TBL Maneno Mbegu akimkabidhi Chuji kombe na Cashhh
Mwenyekiti wa BMT Col Idd Kipingu akikabidhi kikombe kwa Binti wa Marehemu Grace Daudi (al maarufu sister) Angela Paulo.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...