July 7, 2009

ASANTE SANA TIGO

Maonesho ya 33 ya Bongo ya Kimatiafa ndo yanaelekea ukingoni, katika moja ya watu ambao wametoa mchango mkubwa au kurahisisha kazi yetu (Waandishi) ni kampuni ya simu za mkononi ya TIGO,
TIGO waliweka kompyuta zipatazo 6 zilizo unganishwa na mtandao kwa ajili ya waandishi muda wote bila malipo yoyote sote tuliopata huduma hii hapa bila kipingamizi tunasema
ASANTENI SANA TIGO.

JK na MAMA ndani ya 7 - 7

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete leo hii wametembelea Maonesho ya 33 ya Bongo ya Kimataifa.

Mama Salma ktk Maporomoko ya Zambezi

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya Sinia lililotengenezwa kwa mbao kutoka kwa Mwenyekiti wa maduka ya wajasiliamali wadogo ya kuuza vinyago yaliyopo karibu na maporomoko ya Victoria katika mto Zambezi Nchini Zambia Ernest Nzala huku Mke wa Rais wa Zambia Mama Thandiwe Rupiah (kulia) akiangalia. Mama Kikwete ameambatana na mumewe Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Zambia .

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...