November 18, 2006

"Kasi Mpya" upenda sana kujichanganya na watu. Kama nikipata mawaidha toka kwa PM.

November 15, 2006

Elimu ni Ufunguo wa Maisha na kwa anayejua umuhimu wake kama mwanafunzi huyu unabudi kuitafuta popote ata kama ni ndani ya daladala zenye vurugu.
Mapato ya siku.
Dogo vyakutosha?
Ni namna nyingine ya kusema akiongea na vyombo vya habari, au mwasemaje. weka comments.
Napenda sana picha za kisanii sijui wenzangu mwasemaje,
Ilikuwa ikiitwa Sheraton alafu Royal Palm na sasa ni Movenpick, aaaaaaaahh inachanganya sana sijui baada ya miaka mitano itaitwaje,
August 9 its South Africans women day. Dar pia iliazimishwa nyumbani kwa Balozi wa Bondeni.

November 14, 2006

Enzi hizo tulikuwa tukitumia maboxi haya ya mitaani kutuma burua lakini sasa kwa maendeleo ya tekinologia ya mawasiliano yamebaki ukumbusho tu. hili liko katikati ya jiji karibu na kitega uchumi.

November 7, 2006

Kuonyeshs mshikamano mabasi yote yafanyayo safari kati ya Tegeta na Ubungo alikokuwa akifanyia Marehemu hawakufanya safiri siku ya mazishi ya mwenzao.
Waombolezaji wakielekea mazikoni.
Mh RC Ditopile Mahakamani.
Hii ndo gari alilokuwa akiendesha marehemu Hassan na ndomo mauti yalimomkuta.
Familia ya Marehemu Hassan, Baba Mohamed Mbonde, baba mdogo Ramadhan Nyoni,Madada Mariam na Tabu ktk simanzi mara baada ya kupata taarifa ya msiba.
Yasemekana baada ya kukataa kushuka ili kuangalia ni kiasi gani aliliumiza prado la Dito, Mh alichomoa bastola na...........damu zaeleza.
Hili ndo basi alilokuwa akiendesha ambalo yasemekana alimgonga Mh Dito kwa kwa nyuma
Driver wa Daladala Hassan Mbonde anadaiwa kuuawa na Mkuu wa mkoa wa Tabara Cpt Mtoto wa Mjini Ukiwaona Dito siku ya Trh 4/11/06.

November 6, 2006

Mwenge Bus stand iko tayari japo watu watilia mashaka umadhubuti wake na hasa yanapoingilia magari. je hapa si ndo patakuwa mwanzo kualibika?
Ni khali mbaya stand makumbusho baada ya mvua kama inavyoonyesha.
Makumbusho basi stand ilivyo kwa sasa.
Msmbazi Street. Mh Kandoro baada ya kubomoa. je haya manzari ndo yapendeza? je pabaki hivi hadi lini?
Amina Chifupa akiwahutubuia chipukizi wa CCM.
Rais na Mwenyekiti wa CCM mstaafu Benjamin Mkapa akihutubia wanachama wa CCM wapataoe 4000 kabla ya kustaafu na kukabidhi rasmi nyazifa kwa mrithi wake Rais J Kikwete.
Mtoto Fatuma (3) akiosha gari siku ya Juni 1 ambayo ni siku ya kimataifa ya kuzuia ajira mbaya kwa watoto.

November 3, 2006

Utaalamu wa Dada huyu aliojaariwa wa kuyarudi mipasho au taarabu ndo uliowacha hoi mashabiki walioudhjuria.
Ray C pia alikuwepo kutoa burudani.
Kundi la TMK Wanaumeeee! eeeehh wakiwa jukwaani.
Majaji waliongozwa na Ritta wa Bench Mark Production.
Mabalozi pia waliudhuria hafla hii. Hapa Sindiso Mfenya wa Bondeni akiojiwa na Taji.
Siku ile ilishuhudia kuapikana kwa Mfalme wa muziki wa Bongo Prof Jay.
Je twakumbuka siku ya tuzo ya muziki wa bongo? si vibaya tukavinjali tena siku hii kwa njia ya picha, Karibuni. una uhuru kutoa maoni yako.

November 1, 2006

Hii si ndege bali ni Godown la angani.
Dege ili lilileta sehemu ya pili ya mtambo wa kuzalishia umeme wa Richmond Development amboa utakuwa na uwezo wa kutoa Mega Watt 20 utapokamilika kati ya MW 100 ambazo wameingia mkataba na Serikali, jambo moja ni kwamba haijulikani iwapo mtambo huu ni mpya au la na haijulikani lini MW 80 zilizobaki zitawasili nchini hii ni kulingana na Zahor Gire ambaye ni Makamu Rais, Fedha na Utawala wa Richmond.
Latapika mizigo kwa mbele loli laingia na kupakia mizigo bila wasiwasi.
Dege la mizigo la kirusi Antonov 225 lakuweza kuwa dege kubwa kabisa kutua Bongo.
Mwanamziki Vicky Kamata alikuwepo kuburudisha pia, naye alituzwa pia.
Walioguswa ni wengi na waliotoa ni wengi, Mwongoza kwaya Mariam Hussein akikusanya kipato.
Kwaya ya Turiani iliwagusa wengi hasa wimbo wa yatima, ulitia uzuni sana.
Kwaya ya Turiani Shule ya Msingi ilikuwa kivutio ktk uzinduzi wa WAMA Foundation.
Mama Salma Kikwete na Mama Shadia Katume wake za Marais wa Tanzania na Zanzibar wakisakata midundo ya Wana Turiani Shule ya Msingi.
Uzinduzi wa WAMA Foundation (Wanawake na Maendeleo) mfuko maalumu chini ya Mwenyekiti Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kuwakomboa wanawake.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...