rais jakaya kikwete akizungumza na kijana Sinje Ngassa (18)wakidato cha kwanza shule ya sekondari Kizingo wilayani Manyoni wakati wa ziara yake mkoani singida.
JK akivishwa vazi lajadi ya jamii ya Wataturu kwenyemkutano wa hadhara mjini Itigi.
Kuna uvumi ulioenea mjini hapa kuwa mzee wa vijisenti kabwia sumu, taarifa za uhakika toka kwa familia yake zimekanusha kwa nguvu uvumi huu ambao haujajulikana chanzo chake na sababu zake.
hivyo wadau huu ni rumaz tu hakuna kitu ka hicho Mzee ni mzima wa afya na anaendelea na shughuri zake.
“This is the confidence we have in approaching God: that if we ask anything according to his will, he hears us. And if we know that he hears us—whatever we ask—we know that we have what we asked of him.”- 1 John 5:14-15what an amazing verse of the day!!!
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576