October 2, 2008

Tabora vilio vyatawala

Kwa upande wa mkoa wa TABORA Sikukuu haikuwa njema kwao baada ya watoto wapatao 20 kufa kwa kukosa hewa ktk ukumbi wa disco mkoani humo, Rais JK pamoja na kutoa salamu za rambirambi pia ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike kuhusiana na tukio hilo kubwa na la kusikitisha.

Bongo ilivyosherekea idd

Watoto toka maeneo karibu na aepoti warijaribu kwenda kuosha macho hata hivyo walitolewa nje na wahusika ati wanapotea sana waiingia hapo njia panda ya ulaya!!!!!1 .......wa Manzese na maeneo karibu yake walijimwaga Darajani wakabalizi kwani hawana pengine pa kwenda maana viwanja stahiki kwao vimeuzwa....... ........coco ilikuwa baraha maana umati si wa kawa.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...