August 3, 2009

Ka shule SAUZI

Wadau msijeona kimya nimeanza ka-shule hapa Jo' burg kwa mzee Madiba ka kutuandaa wapiga snap wa Africa na kombe la Dunia mwakani, Bongo pix anataka kuweka historia ya kuwa mmoja wapiga snap ktk Kombe hilo la dunia ambalo ni mara ya kwanza kufanyika barani humu.
Kuna wapigapicha toka Comoro, Cameruni, Africa Kusini, Bongo na nchi nyingine ntawatajia tukisha juana vyema hapo baadaye kwa sasa Bye.

Wadau wa Jo Burg

Msijeshangaa wadau niko Jo' Burg kwa ka shule kidogo na kama kawa ya Dunia kijiji uwezi kosa kutana na wadau kama unavyowacheki hapo juu.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...