January 6, 2008

MATAPELI HAMNAZO KWELI!!!!!!!!! MATAPELI KWELI HAMNAZO!!! ETI WANATAKA KUMTAJIRISHA BILL GATES? Dunia kweli ina mambo kumbe sio sie tu tunaopokea haya majunk emails hata tajiri namba moja Duniani pia atumiwa Gates' e-mail address has been widely publicized, and he received as many as 4,000,000 e-mails in 2004, most of which were spam. He has said that much of this junk mail "offers to help [him] get out of debt or get rich quick", which "would be funny if it weren't so irritating".
Mwandishi amwagiwa ACID Mhariri wa Mwanahalisi Saed Kubenea pamoja na mwandishi na mwanaharakati wa siku nyingi Ndimara Tegambwage jana walivamiwa na watu wasiojulikana ofisini kwao Kinondoni na kukatwa mapanga pamoja na bwana Kubenea kumwagiwa tindikali au acid machoni, Kubenea amekuwa akipokea sms za vitisho toka Juni mwaka jana kabla ya kuchomewa gari yake na watu hao mwezi mmoja baadaye na kudai kuwa uwa ni mwanzo tu na kuwa hasa kinachotakiwa ni uhai wake tu. Mwanahalisi limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za ufisadi hapa nchini sijui kama vitisho na matukio hayo yahusiana na habari hizo ambazo limekuwa likiandika. Lets wait and see.

SALAMU ZA MWAKA MPYA KWA WADAU...

After serious & cautious consideration..... your contract of friendship has been renewed for the New Year 2008! It was a very hard decision to make. So try not to mess it up!!!

My Wish for You in 2008: May peace break into your house. May thieves come to steal your debts. May the pockets of your jeans become a magnet for $100 bills. May love stick to your face like Vaseline. May laughter assault your lips! May your clothes smell of success like smoking tires. May happiness slap you across the face. May your tears be that of joy. May the problems you had forget your home address! In simple words ............ May 2008 be the best year of your life!!!

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...