July 21, 2007

Hizi uwa ni kati ya zile nafasi finyu sana kwa wapiga picha kupozi mbele ya kamera kwani tushazoea kuwapozesha wengine, lakin leo imepatika tuko pamoja na Jaji Mkuu Augistino Ramadhani au mpiga kinanda maarufu.
Hii ni repoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Viwanda inayoonyesha jinsi wataalamu wetu wanavyokimbia nchi yao na kwenda kutafuta malisho mema. Chonde Wabongo wenzetu mwendako huko oneni huruma na taifa lenu mwendako huko mkumbuke pia mlikotoka kwani kutafuta malisho mazuri zaidi ni vizuri lakini pia mchango wenu wakosekana nyumbani na ivyo kuchelewa kuendelea kwa taifa lenu ambalo pia limewaghalimia elimu zenu. Tanzania suffers from brain drain: UN report As a least developed country, Tanzania is also suffering from the brain drain that has backlashed at the development of these countries.The fact was pinpointed by the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) and the United Nations Information Center as they published the 2007 report on Least Developed Countries.The report, titled Knowledge, Technological Learning and Innovation for Development, said more qualified people from these poor countries are flocking to the developed world to seek better working conditions and better pays.The UN report revealed that 12 Least Developed Countries had lost over one third of their qualified professionals to emigration in recent years.One million out of 6.6 million people with tertiary level qualifications from developing countries were found to be working in developed countries, the report added.According to available information from the Tanzanian ministries, Tanzania has been losing such qualified professionals as doctors, nurses and teachers to emigration that leads them to South Africa or elsewhere for better pays.But there are no available statistics concerning the emigration
Mh Rais Kikwete na Jaji Mkuu wakivinjali viwanja vya ikulu mara baada ya kuapishwa.
Kwaheri Mh Jaji Samatta, Kazi kubwa umifanya ya kutetea na kulinda haki hasa za wanyonge, Twakutakia kustaafu kwema.
Jaji Mkuu Mteule Augustino Ramadhani akichota busara toka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Banabas Samatta ktk sherehe za kumuaga Jaji Samatta.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...