February 23, 2010

DAWA ZA KICHINA ZAMUUMBUA JAMAA

Dawa za kuongeza maumbilie maarufu kama Mchina zimemuumbua mkazi mmoja wa Dar baada ya kutumia ili kuongeza nyeti yake ambayo anadaia ilisababisha wake watatu kumkimbia kutokana na udogo wake.
Kulingana na Radio wapo, jamaa baada ya kuoa mke wa nne aliamua kutafuta ushauri wa nini afanye ili mamaa wanne asimkimbie ndipo akashauriwa kujaribu "Mchina", kulingana na kituo hicho jamaa ilimchukua siku mbili kuanza kupata majibu na akaanza kuenjoy tendo na mkewe huyo wanne.
Ilimchukua siku kadhaa maumbile ya nyeti yake yakazidi kukua na hatimaye kwa sasa hawezi tena tendo hilo kwa yamekuwa na kufikia kilo tisa za nyeti zake tu hadi sasa na mamaa wanne naye kamkimbia pia maana mzigo haubebeki tena.
Mwasemaje wadau juu ya madawa haya??

Sababu za kufeli wanafunzi ni nyingi sana jamani.

Kumekuwa na mjadala ama kutupiana lawama pengine kutafuta mchawi wa sababu za kushuka kwa kiwango cha ufaulu cha wanafunzi hasa kidato cha nne, twawweza kutafuta mchawi kila mahali, kuanzia kwa wanafunzi wenyewe, walimu, serikali, wazazi na hata jamii kwa ujumla lakini bado haitasaidia hata kama tutapata kwamba mchawi wetu ni fulani.
Kwa hakika kila mmoja wetu ana sehemu katika hili japo kwa asilimia kubwa serikali yaweza kuwa ndo yachukua mzigo wa lawama, kuna mifano kadhaa.
Kwa mfano majuzi nimekutana na wanafunzi wanasoma Mbweni Sekondari karibu na bagamoyo lakini wanatoka Mwananyamala na Mbagala, ni shule za serikali hizi, hawa walinikumbusha wale niliokutana nao wanatoka Mbagala na wanasoma Mapinga.
Wanafunzi hawa kwa siku wanatumia mabasi yasiyopungua sita kwenda na kurudi, ina maana kuwa kwa siku wanakumbana na maudhi, manyanyaso na pengine matusi na kashfa za makonda wasiopungua sita,mbali na adha ya kuamka saa kumi usiku na kurudi nyumbani kuanzia saa mbili ama tatu usiku, kwa wiki ina maana wanakumbana na kadhia hii mara 36 je kwa mwezi, na mwaka je? mtoto huyu tunatarajia atakuwa na maendeleo gani kimasomo?
Ni kweli kuwa watoto wote wanapaswa kwenda shule lakini je hata kama kwa mazingira kama haya kweli? elimu hii tunayompa ambayo muda wake mwingi wapotelea kwenye madaladala ni elimu bora kweli au bora elimu?
Wizara ineangalia upya utaratibu huu wa wanafunzi kufaulu na kuwapeleka mbali kabisa na maeneo yao kwani ni usumbufu mkubwa kwa wanafunzi na maendeleo ya elimu na taifa kiujumla.
Naamini hii nayo ni moja kati ya sababu nyingi zinazochangia kuporomoka kwa kasi kwa elimu yetu hapa bongo.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...