August 15, 2011

Lindi Beach for sale 2


Lindi beach Photo n' art for sale, contact +255784475576

Lindi beach for sale!


Lindi beach sunrise picture for sale contact us. 


Bunge for sale

This image of "Photo n' Art" of Tanzania Parliament is for sale,
Please call +255784 475576 and give the price.

Mhh!

Picha hili silipendi kwa kweli, maana mwisho wake hautabiriki!
Mungu ibariki Tanzania!

Kulikuwa na sababu gani kupandisha mafuta???










Kuna mambo mengine huwa hayaiingii akilini haraka hasa kwa watu wenye akili za kawaida kama za kwetu, sielewi uamuzi ule uliosabibisha usumbufu usio  na sababu yoyote nchini mwetu ulikuwa na maana gani au manufaa gani kwa mtu mmoja mmoja ama taifa, sielewi. 

Kwa vipimo vyovyote vile manufaaa ya uamuzi ule ni madogo kuliko madhara yake, kwanini? mara baada ya uamuzi wa kushusha bei ya mafuta (kwa vigezo vyovyote vilivyotumika, ama vya kisiasa) tulishuhudia mambo ambayo hatukuwai kushuudia katika sekta hii, vituo viligoma kuuza, makampuni ya mafuta yakagoma kupeleka mafuta vitioni, kiongozi wao akatoa sharti la masaa 24 (kwa kimombo - ultimatum) iongeze bei ama sivyo...., matokeo yake ni kukosekana kwa mafuta katika sehemu kubwa ya nchi na pale yalipopatikana yaliuzwa kwa bei ya kuruka, kuna taarifa kuwa baadhi ya sehemu ilifika Sh 5,000 kwa lita moja na mpaka sasa haijatengemaa.

leo hii wiki moja tu baada ya kasheshe yooote hiyo tunaambiwa yamepanda tena, sababu pesa yetu ya "madafu", huku bado hata machungu ya uamuzi wa mwazo hayajaisha, baadhi ya mikoa mpaka sasa bado haijapata mafuta, aliyepewa adhabu wala hajaanza kui-feel, na hali ya mafuta haijatengemaaa, twaambiwa ni kushuka kwa thamani ya shilingi! mtu atajiuliza, lini shilingi yetu iliwai kupanda???, je kulikuwa na sababu gani kushusha bei na kuleta usumbufu huu?? je si ni rahisi mtu kuunganisha moja na moja ukapata mbili? kwamba haya ni matokeo ya ile ultimatum ya mabwanyenye wa mafuta????

Tutafakali!!

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...