August 5, 2009

Love strengthens the union

Sote tukaoe Zenji ili kudumisha muungano?
Ndo ushauri wa Adam Mwana wa Lusekelo

Chinga wa SAUZI waandamana.

Ch
Kumbe ile kashehe ya Chingaz na Mgambo sio Dar mpaka Jo'burg ipo pia, Leo hii Chingaz wa Jo' burg wameandamana mitaani kupinga unyanyasaji unaofanywa na polisi na kuwapola mali zao, maandamano hata hivyo yalikuwa ya amani huku polisi wakilinda usalama.

Ndani ya Jo' Burg

Marehemu Brenda Fassie alikuwa ni Madona wa Sauzi anaheshimika sana kiasi cha kujenga mnara maalumu au kusimamisha sanamu yake kwa kumuenzi. si vibaya kupata snap naye.

JK azindua mradi wa maji Singida.

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Padre Timothy Coday wa Shirika la Damu Azizi ya Yesu la Kanisa Katoliki muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika eneo la Mtoo, mjini Manyoni,mkoani Singida leo mchana. Padre Coday ni mfadhili mkuu wa mradi huo kwa kushirikiana na Halmashauri wa Mji wa Manyoni.Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida Parseko Ole Kone na kulia nia katibu Mkuu wizara ya Maji Christopher Sayi.

Miss Ilala Photogenic

No 8000 Anatafutwa miss Ilala Photogenic Je nnani anaweza kutwaa taji hilo? tembelea kwa mzee wa libeneke upige kura isiyo rasmi au maoni yako.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...