April 25, 2008

TICTS NA KARAMAGI

Karamagi akili bungeni kumiliki asilimia 35% ya hisa za TICTS na kuwa yeye ndo mwenyekiti huku waheshimiwa akiwemo Mh Chenge aka "Vijisenti" na Rostam Azizi wakifuatilia kwa makini.

Mrs Pinda

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kushoto) akitoka kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma jana baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu.

Mambo ya Mswati hayooo

Mambo ya mila na utamaduni wa Bondeni kwa Mfalme Mswati, kila mwaka jamaa anakazi ya kuchagua mwali mpya kabisa wa kuoa. King Mswati alianza kutawala Swaziland mwaka 1986 ana umri wa miaka 40 na mpaka sasa ana wake 13 na anauhakika wa kuoa mke 1 kila mwaka, je akifanikiwa kufikisha miaka 100 atakuwa na wake wangapi?

TABATA DAMPO-Mshiko WAKARIBIA

Wakazi wa Tabata Dampo waliovunjiwa nyumba zao kinyume cha sheria na kinyama watalipwa mshiko wao hivi karibuni baada ya zoezi la kutambua wamiliki halali wa nyumba na wenye leseni za makazi kufanyika leo hii.

Wesley Snipes afungwa

Wesley Snipes amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenye gereza la serikali (federal). Kisa hakulipa kodi aliyostahili kulipa! Denzel Washington alikuwa mahakamani akitoa shuhuda kuhusu jinsi Snipes alivyo mtu mwema. Pia Woody Harrelson alitoa shuhuda. Snipes mwenyewe alimwomba hakimu amwonee huruma! Lakini wapi! Jaji kampa kifungo cha juu kabisa miaka mitatu. Alisema awe mfano kwa wengine!
Kwa hisani ya Dada Chemi.

Neno la Leo

“To them God has chosen to make known among the Gentiles the glorious riches of this mystery, which is Christ in you, the hope of glory. We proclaim him, admonishing and teaching everyone with all wisdom, so that we may present everyone perfect in Christ.”- Colossians 1:27-28

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...