tag:blogger.com,1999:blog-34405785.comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Rwebangira BlogAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger436125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-32512253444830414622015-02-09T11:43:22.359+03:002015-02-09T11:43:22.359+03:00Edmark is the absolute surprise to me
Am on my 7th...Edmark is the absolute surprise to me
Am on my 7th day cleansing my body with Splina and The rejuvinating packs
Can't wait for the outcome
original weight 98kgs
6th day i weigh 95.9kgs!!
so excited.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00112617068088569343noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-67094593596910958982014-11-02T22:52:19.901+03:002014-11-02T22:52:19.901+03:00Hivi ni kweli hiyo dawa inasaidia kujikinga na ebo...Hivi ni kweli hiyo dawa inasaidia kujikinga na ebola, ninavyofahamu ebola haina kinga bado. hebu nifahamishe maana tunaishi kwa wasi wasi siku hiziMwalimuhttp://blogmama.tanzaniasite.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-82214339769877710652013-11-25T22:30:22.859+03:002013-11-25T22:30:22.859+03:00Elimu nzuri sana hii endelea kutufundisha tafadhar...Elimu nzuri sana hii endelea kutufundisha tafadhari. Asante sanaAMINAhttp://www.chatguest.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-60484510563137195212012-07-19T07:24:06.550+03:002012-07-19T07:24:06.550+03:00Hii tena imekua mchezo kila mara watu kufa kama ku...Hii tena imekua mchezo kila mara watu kufa kama kuku, Serikali lazima ichukue hatua kali sana kwa wenye hizi meli si kuacha wanaua watu hovyo, Wanafikiria pesa kuliko roho za watu huu ni uaji umekua si ubinadamu na seriakali inachangia kwa haya yote yanayotokea inakula rushwa kuuwa wanachi wake huu ni upumbavu mkubwa sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-22654799343506241922012-07-13T02:11:28.046+03:002012-07-13T02:11:28.046+03:00One thing I would really like to touch upon is tha...One thing I would really like to touch upon is that weight loss program fast can be performed by the proper diet and exercise.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-10791377516852398162012-06-23T16:38:25.074+03:002012-06-23T16:38:25.074+03:00Ni kweli wengi wana shida kama hii na wanafikiri n...Ni kweli wengi wana shida kama hii na wanafikiri ni maumivu na na kuacha kufanya utafiti hasa shida ni nini...Pole na yalikupata kaka Bernad... Umefanya vizuri kutushirikisha katika hili naona wengi wataamka.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-14605622849605416332012-06-15T16:01:58.402+03:002012-06-15T16:01:58.402+03:00Thanks for another great article. Where else may ...Thanks for another great article. Where else may anyone get that type of
info in such an ideal means of writing? I have a presentation subsequent week, and I'm at the look for such info.
My site - graco pushchairsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-11805439252544300312011-11-25T14:43:09.669+03:002011-11-25T14:43:09.669+03:00I like the design of your resource! It looks reall...I like the design of your resource! It looks really cool.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-6110265006647461002011-11-22T13:38:32.778+03:002011-11-22T13:38:32.778+03:00Ni ngumu kuamini ila inawezekana maana miaka hii h...Ni ngumu kuamini ila inawezekana maana miaka hii hakuna kichowezekana.Il duh! Kaaazi kwelikweli..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-70231766967368704682011-11-21T09:13:09.886+03:002011-11-21T09:13:09.886+03:00Huyo ni Tshala Mwana akiwa anatumbuiza Uganda.
Ha...Huyo ni Tshala Mwana akiwa anatumbuiza Uganda.

Haya mambo ni kawaida kabisa kwa wanamuziki wanawake. Hebu fikiria idadi ya watazamaji kwa onesho lijalo itakuaje kama wanaume wakipigiana stori kuwa mama alikua mtupuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-14744476447465919682011-11-19T10:56:34.383+03:002011-11-19T10:56:34.383+03:00Hii connotation huwa inanishangaza sana,how come s...Hii connotation huwa inanishangaza sana,how come some1 says breakin newzz...Ktk habari kama hii,kinda celebrating?Grr rr..Ingetosha kuwa breaking news au just in/ news alert.Wajifunze namna ya kuwasilisha habari za kuhuzunisha na zileza burudani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-43108863793552035782011-10-31T12:55:33.464+03:002011-10-31T12:55:33.464+03:00Best digital camera.We really liked The Canon when...Best digital camera.We really liked The Canon when we reviewed it last year.Canon's least-expensive HD-capable point-and-shooter isn't just smaller than many smartphones,it pumps out beautiful images too.best digital camera under 200http://www.ebestdigitalcameraunder200.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-91842552284377051462011-10-30T22:25:24.026+03:002011-10-30T22:25:24.026+03:00Nina uzoefu wa hali ilivyo katika ajira za kufundi...Nina uzoefu wa hali ilivyo katika ajira za kufundisha vyuo vikuu vya Marekani. Ikitokea nafasi, chuo kinawajibika kisheria kuitangaza nafasi hiyo kila mahali panapowezekana, kuanzia kwenye majarida na mitandao ya taaluma husika, na kwenye vyuo vingine. Ni lazima wasambaze taarifa sehemu hizo zote, ili kila mtu aweze kupata fursa sawa ya kuliona tangazo na kupeleka maombi.

Ni kawaida kwa nafasi hiyo moja kuletwa mamia ya maombi. Kazi sasa inakuwa kwa kamati husika kuanza kuchuja. Watachuja sana, hadi wafikie waombaji wachache, labda tuseme 20, ambao sasa kamati inawaita kwenye mahojiano.

Baada ya mahojiano hayo, wanaweza kupatikana waombaji watatu, ambao wanaitwa chuoni kufanyiwa mahojiano zaidi, na wao kuonyesha uwezo wao wa kufundisha, falsafa na fikra zao kuhusu somo husika, na kadhalika.

Baada ya hapo, anapatikana mwombaji moja, na ndiye anapelekewa taarifa ya kupewa kazi.

Nimeeleza hayo ili tu kupanuana mawazo.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-12676662219744016912011-10-21T21:03:45.023+03:002011-10-21T21:03:45.023+03:00we discussed about this topic on facebook. but thi...we discussed about this topic on facebook. but this a another way of thinkingAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-3492462253837980452011-10-21T16:32:00.812+03:002011-10-21T16:32:00.812+03:00Your point is valueble for me. Thanks!
...Your point is valueble for me. Thanks!

My blog:
dsl tarifvergleich oder dsl vergleichAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-56714809547385863152011-10-16T15:16:21.809+03:002011-10-16T15:16:21.809+03:00thank bongo pics jaribu na hizi www.tanzaniakwetu....thank bongo pics jaribu na hizi www.tanzaniakwetu.com na www.jigambeads.com for your benefit.Jigambe Teamhttp://www.jigambe.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-23921632599565377072011-10-16T00:13:16.132+03:002011-10-16T00:13:16.132+03:00hello, what's new, what's up?hello, what's new, what's up?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-67802923449825037302011-10-07T05:25:16.380+03:002011-10-07T05:25:16.380+03:00brinkka2011 says: Simply wish to say your article ...brinkka2011 says: Simply wish to say your article is as amazing. The clearness in your post is just nice and i could assume youre an expert on this subject. Well with your permission let me to grab your RSS feed to keep updated with forthcoming post. Thanks a million and please keep up the rewarding work.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-22807995911043403672011-10-06T09:52:47.242+03:002011-10-06T09:52:47.242+03:00dah hii ni kali inaelekea huyu mgombea alikua amek...dah hii ni kali inaelekea huyu mgombea alikua amekunywa gongohii ni kalihttp://www.facebook.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-59334733980125583062011-09-22T19:09:07.123+03:002011-09-22T19:09:07.123+03:00duI hiyo ni mpya, huyu anayejiita mtumishi wa mung...duI hiyo ni mpya, huyu anayejiita mtumishi wa mungu naonga mkono akakabiliane na mkono wa sheria kutokana na hayo makosa, amedanganya watu, na, amepotosha watu na ameshiriki kuiba watoto, wahubiri wa namna hii watazamwe kwa marefu na mapana, wanawasababishia matatizo wananchi na kupunguza uwezo wwao wa kufikirAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-31151732661720484002011-09-15T17:16:42.268+03:002011-09-15T17:16:42.268+03:00Ben, hongera kwa miaka 5 ya kublogu.
Nakuombea her...Ben, hongera kwa miaka 5 ya kublogu.
Nakuombea heri na afya njema uendelee kutuelimisha na kutupasha habari kwa njia hii.
Pongezi jirani!Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-11426681997882035022011-09-15T12:21:58.378+03:002011-09-15T12:21:58.378+03:00wameshakupata nawe wamesambaa na hawachoki kubahat...wameshakupata nawe wamesambaa na hawachoki kubahatisha.za kumwaga angezimwaga hata huko kwao si kwa e-mail.miwesterners hiyo kusumbua mbongo za maskini.huko kwao bado bb anasema atarudi madarakani na amelamba kuliko zinavyohesabika na hakuthubutu kuzitoa leo bila ya kuwa na uhakika wa yajayo akupatie mahela ww.egypt wtt wanasakwa pengine hawakushirikishwa(uhakika wanao wenyewe) lkn watasulubishwa wakipatikana.delete and forget u ever received such a message.wish u luckAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-35049920888980426262011-09-10T15:01:49.938+03:002011-09-10T15:01:49.938+03:00Poleni sana kwa msiba huu mkubwa!Poleni sana kwa msiba huu mkubwa!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-19939975886552490282011-09-09T05:04:43.917+03:002011-09-09T05:04:43.917+03:00Hostel is a grand expediency as you do not constan...Hostel is a grand expediency as you do not constantly require a reservation.Pousadas Em Fortalezahttp://pousadasemfortaleza.org/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-37284888372497417292011-08-26T00:09:46.888+03:002011-08-26T00:09:46.888+03:00Huyu jamaa si wa kumuua ni wa kumkausha halafu ana...Huyu jamaa si wa kumuua ni wa kumkausha halafu anawekwa katika maonyesho Libya watatajirika zaidi kwa kupata watalii toka pande zote za dunia kumuona huyu jamaa, Au awekwe awe mchekeshaji aktika mikutano ya taifa na tv.Anonymousnoreply@blogger.com