February 26, 2009

Ban Ki Moon

JK na Ban Ki Moon.
Mdau Bakari Machumuktk Lecture ya Boss wa UN.
Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando akifuatilia kwa makini.
Boss wa UN Ban Ki Moon amekutana na Rais Kikwete na kutoa lecture ya nguvu jijini Dar.

Tigo yapiga jeki shule,

Ofisa Mauzo wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Kanda ya Kusini, LadislausKarlo (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa,Pindi Chana (kulia) sehemu ya mabati 113 yenye thamani ya shs milioni3 yaliyotolewa na kampuni hiyo kuchangia ujenzi wa Shule ya Sekondari ChiefKidulile iliyopo Wilayani Ludewa Mkoani Iringa. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Wilayaya Ludewa, John Mahali.

Boss wa UN atua Bongo

Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon ametua mchana huu Bongo kuanza ziara ya siku mbili na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Bw Bernard Membe, anatarajiwa pia kwenda Zanzibar na Arusha hapo kesho. Karibu sana BONGO Bw Ban, hapa ndipo anapotoka msaidizi wako wa karibu Mama yetu Dr Asha Rose Migiro

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...