BUNGE LEO KWA KAULI MOJA LIMEUPIGA CHINI MUSWADA WA UUNDAJI BARAZA LA USALAMA WA TAIFA ULIOWASILISHWA NA WAZIRI WA OFISI YA RAIS UTAWALA BORA NA KUULEJESHA SERIKALINI ILI UFANYIWE MAREKEBISHO KWA MARA YA PILI.
Wabunge wengi waliochangia wametoka kasoro nyingi ikiwemo ya kumnyanganya Rais madaraka kama Amiri Jeshi Mkuu ambapo ni kinyume na katiba na kukasimu madaraka hayo kwa baraza hili ambalo wachangiaji wengi wameliita ama kulifananisha na kongamano.
No comments:
Post a Comment