Soccer City Stadium zamani FNB Stadium, Uwanja mkubwa kabisa Afrika wenye uwezo wa kuchukua watazamaji wasiopungua 95,000 ulio karibu kabisa na Soweto na pia Afisi za TFF "ahh no" SAFA, yaani TFF ya huku, ndipo itafanyika mechi ya kwanza kabisa ya Kombe la Dunia barani Afrika kati ya wenyeji Afrika Kusini na Mexico. Umejengwa kwa Dola za Mamrekani Million 440. Bongo mpo??
No comments:
Post a Comment