Mpiganaji Herry Makange atunaye tena.
Taarifa tulizozipata na kudhibitishwa na watu wa karibu wa Mpiganaji Herry ni kuwa alifariki jana kutokana na ajali ya pikipiki maeneo ya Mbezi Africana.
Mipango ya mazishi na taratibu zote zinafanywa na tutawajulisha mara tutakapo pata taarifia zaidi.
"SISI TULIKUPENDA SANA HERRY LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI, JINA LA BWANA LIBARIKIWE."
No comments:
Post a Comment