December 25, 2008

JE NI KWELI AKILI NYINGI UONDOA MAARIFA?

TRA YA NCHI JIRANI YAPONDA PONDA MAGARI YALOSHINDWA KUKOMBOLEWA BANDARINI, MAGARI YAPATAYO 200 KUPONDWA DESEMBA HII, JE HUKU NI KUWA NA AKILI NYINGI AU NI AJE WADAU?

Some of the vehicles at the Port's G-Section being crushed on Thursday. They were said to have stayed unclaimed for more than ten years. Kenya Revenue Authority intends to crush more than two hundred cars by the end of December.

3 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Heshima kwako Kaka. Kama magari yamekaa bandarini kwa zaidi ya miaka 10 tayari ni hasara. Na sioni kwanini wasiya-crush maana sio tu yameshapungua kiwango kiasi cha kutisha, lakini hayafai tena kwenye masuala ya usalama wa abiria na mazingira. Kumbuka ni miaka 10 bila matengenezo yakiwa yameegeshwa bandarini ambako chumvi humung'unya vyuma vyake hivyo hata kama yataonekana kuwa Ok kwa nje, nadhani uimara wake utakuwa wa mashaka.
Kwa hiyo kwa mtazamo wangu gari lililokaa bandarini miaka kumi si salam kwa matumizi na kama mwenye nalo atatakiwa kulipia egesho la bandari la miaka kumi, nina hakika akwa na akili timamu ataongezea kiasi kidogo (kama atalazimika maana viwango vya bandari viko juu) anunue jingine ambalo hatahitaji kulikarabati.
Asante kwa CHANGAMOTO nzuri Kaka

Bongo Pixs said...

Nakubaliana nawe mzee wa changamoto, lakini swali labaki kuwa kwanini wasubili miaka kumi? yaani hapawezi kuwa utaratibu wa japo miaka 2 au hata mmoja na baada ya hapo kutangaza mnada? nadhani kwa mtindo huo wanaweza kupata mapato ambayo wanadaiwa hao waloshindwa kukomboa. lakini kwa mtindo huo hapo juu nani kapata?

Mzee wa Changamoto said...

Hapo naungana nawe kuwa pamoja na kuwa miaka kumi ni mingi, wangeweza kupiga mnada baada ya miaka michache na hiyo ingewafanya wenye nia na magari kuyakomboa ndani ya muda mfupi, wale washindwao kukomboa kupoteza lakini bila kupoteza pesa za serikali. Maana naamini kwa miaka kumi kuna ambao wameshindwa kupitisha bidhaa zao hapo kwa kuwa sehemu za maegesho zilikuwa hazitoshi. Nakubaliana nawe kuwa utaratibu ngekuwa kuyatwanga mnada baada ya miaka michache (kama miwili hivi)

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...