SWALI KWA WADAU..... MALEZI KAMA HAYA TWAWAFUNZA NINI WANETU? JE NI NANI WA KULAUMIWA WATOTO KAMA HUYU KUJA ARIBIKIWA BAADAYE? JE NI JAMII AU MZAZI?
Picha: Mroki.
SWALI KWA WADAU..... MALEZI KAMA HAYA TWAWAFUNZA NINI WANETU? JE NI NANI WA KULAUMIWA WATOTO KAMA HUYU KUJA ARIBIKIWA BAADAYE? JE NI JAMII AU MZAZI?
1 comment:
Lawama za moja kwa moja zitakwenda kwa wazazi/walezi na lawama nyinginezo zitakuwa za wanajamii.
Ni juzi tu redioni wametangaza mtoto wa darasa la kwanza kufariki dunia huko mkoani Arusha kwa sababu ya kuzidiwa pombe ambapo mzazi wake alikuwa akimnywesha mataptap hayo tangu akiwa na umri mdogo kabisa.
Kutokutumia akili na maarifa katika maamuzi ndiko kunakosababisha yote haya!
Post a Comment