May 13, 2008

Bye Bye kuajiliwa!!

"Asante sana bwana mdogo" Naibu Waziri miundombinu Eezekiah Chibulunje akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Mshare Commission Agent kukubali kukoposha madereva taxi. Madereva taxi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu nyerere wapatao 50 wataondokana na kuajiliwa na kuanza kujiajili baada ya kukoposhwa magari toka kampuni ya Mshare Commission Agent iliyopo karibu na jengo la vijana jijini Dar. Huu ni Mkopo nafuu ambapo utalipwa kwa muda wa miezi 30 dhamana ikiwa ni umoja wao wa ATACOS au Airport Taxi Cooperative Society.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...