April 3, 2008

Sakata la KUGOMBEA MAITI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni-Kinondoni leo imeamua mazishi ya mwili wa Marehemu Paulo Goliama aliyefariki wiki iliyopita yafanywe kwa usimamizi wa Mama Mzazi na Mke wa Marehemu na kwa dini ya Kikristo. Marehemu aliwai kubadili dini wakati wa uhai wake kuwa Mwislamu baada ya kupata mrembo wa kiarabu na baadaye kurudia tena ukristo.

6 comments:

Anonymous said...

hii na iwe funzo kwa wale wote wanaobadili dini wanaamua kuoa au kuolewa na mtu kwa sababu ya kitu flani,baada ya kukipata basi anaamua kuacha hiyo dini.

Anonymous said...

hizi imani kati ya dini hizi 2 ukirsto na uislam ni ngumu sana na wanaojifanya kubadili ni wasanii sidhani kama wanakuwa wana mwabudu Mungu kiukweli.

Anonymous said...

mi nadhani kila mtu abaki na dini yake kama wawili mmeamua kuishi pamoja hii itapuguza matatizo kama yaliwapata familia ya goliama,binafsi nimepata kitu hapo.

Anonymous said...

mwenye dini yeyote bora kutafuta mwenza wa dini yake haya mambo ya kutanga tanga noma yake ndo kama hii.by mpenda dini

Anonymous said...

waislam waoe na kuolewa na waislam wenzao,hali kadhalika wakirsto waoe na kuolewa na wakristo wenzao ili kuepusha matatizo ya mitizamo tofauti ndani ya familia.
by mchangiaji

Bongo Pixs said...

ASANTENI WADAU WOTE KWA MICHANGO YENU MIZURI, BADO NAKARIBISHA MAONI ZAIDI YA NINI KIFANYIKE ILI KUONDOKANA NA KADHIA HII,
JE LIPI LILILO BORA HAPA KUGOMBEA ALIYE HAI AINGIE KTK IMANI YAKO AU MFU AMBAYE HANA HAJUALO ILIMRADI HASHATUTOKA? WAPI NGUVU ZIELEKEZWE HASA?

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...