May 27, 2009

Kero ya Daladala BONGO sasa Bye bye

"Nimerikuta maeneo ya Ubungo likielekea Posta, yasemekana yameletwa ka 200 hivi na mengine 1000 yako njiani kutatua shida ya usafiri na kero zinazoletwa na Daladala"

4 comments:

Faustine said...

Mwanzo mzuri hofu yangu ni uwezo wa barabara zetu.

Anonymous said...

u almost had me

Godwin Habib Meghji said...

metro rapid za metropolitan area DC/MD/VA. naona faustine kaingia. hayo ni mabasi mapya ya METRO hapa marekani washington DC. angalia madhari ya hiyo picha. ni sehemu gani katika barabara ya morogoro pako hivyo. Bongo wala hakuna watu wengi kwa route ya morogoro road we need only 20 buses

Anonymous said...

kama hayo mabasi yako bongo basi, yanaonekana plastic na baada ya week mbili tu tatatupwa majalalani. unakumbuka enzi za Mzee ruska na mabasi ya shule, mbona hata hayakaa miezi 3 yote yakatupwa, hakuna spare, barabara mbovu! vipanyaaaaaaaaaaaaa hoyoooooooooooooo

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...