June 14, 2011

sababu hii pekeee au ni zaidi??


Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion ama kwenda na wakati, vyema, lakini kinachojitokeza zaidi ni tabia ya wadada hawa kutokupenda kuvaa chochote ndani pamoja na kuwa wanavaa nguo fupi, kutokuvaa nguo ya ndani si tatizo sana, lakini je ni lazima watu wajue kuwa hukuvaa kitu??
"Napenda kuwa huru ndiyo maana sipendi kuvaa nguo ya ndani ninapotoka usiku" alinukuliwa dada huyu kwa mujibu wa Global publisher
Wengi wanahusisha ama kuwa na tafsiri tofauti juu ya matendo haya,
Wapo wanaodhani ni kwenda na wakati ama mitindo, wapo wanaodhani kuwa huu ni ufuska, lakini pia wapo wanaosema kuwa kila mtu ana haki na kile apendacho kuvaa kwa wakati hautakao muhusika. 


Lakini kuna baadhi ya wadau wana mawazo tofauti kabisa, wao wanadai kuwa moja ya sababu ya tabia hii kushika kasi ni tabia ya kina baba kujifanya hawaoni ama wako bize sana, hawa wanadai kuwa pengine ni kutokana na kina dada kuwa wengi ama kina kaka kuchelewa kuoa, hivyo kina dada wanatafuta mbinu ya kuwashtua ili wajue kuwa nao wapo, sina hakika lipi ni lipi, pengine weye waweza nisaidia katika hili.
Zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha kina baba/kaka kutowaona kina-dada ama kuwaona sawa na wao, baadhi yaweza kuwa ni kupoteza hamu ya kuwa na mwenza kutokana na ama msongo wa mawazo au miangaiko ya maisha, lakini pia iko sababu inayohusisha staili ya maisha na vyakula tulavyo vinachangia kwa kiasi kikubwa kutojisikia kushiriki na mwenzi wako ama kuwaona mabinti kama makaka, hii yaitwa LIFESTYLE DISEASES,
Waweza pambana vipi na LIFESTYLE DISEASES????? Fuatilia hapa utapata mbinu. 


Je huyu naye angesema kuwa anapenda kuwa huru kama dada yetu hapo juu ingekuwa vipi hapa??Picha kwa hisani ya Global Publisher, 8020 blog na mtandao

9 comments:

Rik Kilasi said...

Kwa mtindo huu mie wacha nitafute miwani ya mbao maana tinted haitasaidia huu ni ulimbukeni tu wengine vitovu nje mashanga yamejaa viunoni utadhani waganga cjui shida iko wapi wavae tu kiheshima tutawaona kama ndio point yao eti hatuwaoni!

Anonymous said...

Katika taifa lenye maadili mzuri,huo ni uchafu na tena ni umalaya.Na kwa taifa lisilo na maadili mazuri kama letu(Tanzania) hiyo ni bomba. Utafanikiwaje kupiga vita ukimwi wakati watu wako wanajiuza? kutovaa chupi usiku ukiwa out ni kwamba uko tayari kwa ngono popote,wakati wowote na kwa yeyote. Hakuna kipindi Tanzania iliwahi poteza mwelekeo kama kipindi chote cha JK. Ni ufuska kila kona.

SIMON KITURURU said...

Mmmmh!

Anonymous said...

Akili duni za akina dada zetu ndio zinawafanya kufanya hivyo. Leo unafanya hivyo ,,kesho mtoto wako akifanya kama hivyo unalaumu,,, unalaumu nini wakati wanaiga toka kwenu. Dada zetu heshima ni kitu cha bure kwanini msijiheshimu !

Anonymous said...

tatizo ni ushamba wa dada zetu kila kitu kuiga, wanaiga hata mambo mabaya mazuri wanayaacha. wakati huohuo wanadai heshima, wanataka heshima wakati wao wenyewe hawajiheshimu, aibu tupu!!!!!

Anonymous said...

Watanzania tuwache unafiki, Hawa dada zetu kutovaa chupi wanapoenda matembezi,Inatokana na kaka zao kuzidi kufanya Vitendo vya Ushonga.Kwa hiyo WT tubadike.Tumurudie Mwenyenzi Mungu.

Anonymous said...

Mimi nazani waendelee tu kukaa uchi, maumbile yao yanavutia sana, maumbile yao ni chakula cha macho yetu wanaumme. Wanawake ni maua ya dunia acha yachanue yapendavyo!!

Anonymous said...

Angekuwa mama au dada yako au binti ungeendelea kulisha hiyo mimacho yako? Shenzi na kumbaff kabisa. Na ukome kusifia upumbavu. Hawa wanaojiweke uchi si ajabu wameishaikwaa miwaya wanatafuta wapuuzi kama anon hapo juu waondoke nao kirahisi. Kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza. Ukiona mama amefika level ujue si chochote si lolote bali nung'aembe linaloweza kumchukua yoyote haka kama ni chizi. Nadhani hii ni aina fulani ya kichaa kitokanacho na ulimbukeni. Kwani majuu wakila mavi nanyi mtakula? Pumbavu tena kabisa.

Anonymous said...

Wabongo mnaongea sana sasa kipi cha ajabu wewe msichana humjui nini la ajabu nendeni mkaishi uarabuni kama hamuwezi kuvumulia

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...