July 21, 2011

breaking Nyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi! Jairo apewa Likizo ya MALIPO

Habari zilizotufikia punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Nishati David Jairo amepewa likizo ya malipo kupisha uchunguzi kuhusiana na tuhuma za kuchangisha pesa ili kuonga wabunge kupitisha bajeti ya wizara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo amekaririwa na TBC wakti akiongea na waandishi wa habari hivi punde.Katuni na Said Michael

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...