July 9, 2011
Success Day in A town
Mhadhiri wa UDOM na mumewe Esther na Selestin wakitoa ushuhuda jinsi gani wamefanikiwa kupitia biashara ya mtandao ya FLP,
Mzee Baltazari toka Usa River akitoa ushuhuda jinsi gani Aloe Vera Gel imemponya na ugonjwa wa kisukari ambao alikuwa nao kwa muda mrefu na kujaribu kila gharama kubwa katika tiba bila mafanikio, Mzee huyu anamshukuru binti yake ambaye ndiye aliyemshauri kuhusu bidhaa hiyo.
FLP Success Day huwa ni siku muhimu sana kwa Network Marketers wote pitia kampuni hiyo kusherehekea mafamikio ikiwa ni pamoja kutambua rasmi waliopanda ngazi za mafanikio, huwa siku ya furaha na vicheko ambapo waweza kaa bila kujua muda umeendaje,
This time ilikuwa zamu ya Mkoa wa Arusha, shughuri imefanyika katika ukumbi wa AICC ukumbi wa Simba, imeshuhudia wanamtandao kadhaa wakitambuliwa kama Supervisors, Assistant Managers, Managers, Soaring Managers, Eagle Managers NK.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
Popular Posts
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion...
-
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni-Kinondoni leo imeamua mazishi ya mwili wa Marehemu Paulo Goliama aliyefariki wiki iliyopita yafany...
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
At least 32 people have been killed in multiple explosions after an accident at a munitions dump in Tanzania's commercial capital, Dar e...
-
Baada ya DCI na jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaa walivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwam...
-
Wadau naomba radhi kwa kutowaletea au kupost picha mpya hasa za mshikaji "NYEPESI" akifanya vitu vyake mtaani au za madent UDSM kw...







No comments:
Post a Comment