November 5, 2010

Ushindi wa KISHINDO

NEC imemaliza kazi muda si mrefu kwa kumtangaza Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kuwa mshindi wa kiti cha Urais 2010 - 2015 kwa ushindi wa kishindo asilimia 61.17 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Dr Wilbrod Slaa.
Tume iritarajia wapigakura Milion 20 lakini waliojitokeza ni asilimia 42% tu yaani Milion 8, wapigakura hawa hawafikii idadi ya waliopiga kura mwana 2005 kama takwimu zinavyoonesha hapo juu.
Je nini kimetokea? kuna ugonjwa gani wa ghafla umewapata watanzania ata wasitokee kupiga kura? Je idadi hii ya watu waliojiandikisha ina walakini? NEC watakuwa na majibu na pengine maswali mengi zaidi ambayo yatazidi kuibuka kuhusiana na hili.
Nampongeza Mh JK kwa kupata nafasi ya kuongoza tena ama kumalizia kipindi chako cha pili kwa mujibu wa katiba. Hongera sana na MUNGU akubariki katika utekelezaji majukumu yako.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...