August 29, 2008

CHANGA LA MACHO LA KARNE?????

JAMANI MWENZENU SIKUELEWA SAWASAWA richnmond report na mh PM JANA HAPA MAHALI ASA KWENYE HIYO BOLD NYEKUNDU, HIVI HAWA SI NDIO TANESCO ILIKUWA IKILAZIMIKA KUWALIPA MABILIONI KA MATATU HIVI KWA MWEZI KWA KIGEZO HICHO?
(i) Mkataba baina ya TANESCO na IPTL  Mgogoro uliopo sasa kati ya TANESCO na IPTL unatokana na kutokubaliana kwa pande zote mbili kuhusu kiwango cha capacity charge kinachotozwa na IPTL.  Kwa mujibu wa Mkataba wa kuuziana Umeme kati ya IPTL na TANESCO, capacity charge inapaswa kukokotolewa kwa kuzingatia mtaji (equity) wa asilimia 30 na faida ya asilimia 22.31 uliopaswa kuwa umewekezwa (ambao ni US$ 36.54 milioni) wakati IPTL wanaanza kuzalisha Umeme na kuiuzia TANESCO tarehe 15 Januari, 2002. Hata hivyo, kufuatia uchunguzi uliofanywa na TANESCO imegundulika kwamba mtaji halisi wakati IPTL inaanza kuzalisha Umeme ulikuwa Shilingi Hamsini Elfu tu (50,000/=). Hivyo, mtaji huu ndiyo unaostahili kutumika kukokotoa capacity charge inayolipwa IPTL na si vinginevyo.  Kwa mantiki hiyo, madai ya TANESCO na Serikali katika Mradi huu ni kuwa, capacity charge inayotozwa na IPTL izingatie kiwango halisi cha mtaji (equity) uliowekezwa na IPTL, na si zaidi ya hapo. Aidha, Serikali na TANESCO inadai kutoka IPTL kiasi chote cha malipo kilichofanywa kimakosa kama capacity charge ambacho hakikustahili kulipwa kwa IPTL.

No comments:

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...