JAMANI MJAMAA ATAFUTA JIKO HUYU NA SIFA KAORODHESHA HAPO CHINI, JE NI KWELI SASA TUMEFIKA HATA KUJITANGAZA KTK VYOMBO VYA HABARI?
AU NI UBIZE ATA KUSEMESHA TOTOZ INAKUWA TABU?
Mimi kwa jina naitwa bw. Jarome Msaka, nimezaliwa mwanzoni mwa 1976, ningependa kujitokeza kwenye blog yako unisaidie natafuta mchumba. Sifa zangu ni kama ifuatavyo;Elimu: Masters ya Management IT Security
Kazi: Nzuri ya kipato cha kutosha, nina nyumba na usafiri wangu binafsi.
Makazi: Dar es salaamHeight and body built: 5.8", normal body.
Sifa zingine: Sivuti sigara, nakunywa pombe kiasi, ni mkristo (Lutheran), sijawahi kuoa na sina mtoto,sina ulemavu wowote, mcheshi kiasi, mwenye kupenda maendeleoMchumba ninayemtaka awe naumbile la wastani, mwenye elimu kuanzia degree moja, mpenda maendeleo, asiwe complicated na awe muwazi, awe tayari kupima ukimwi, awe Mtanzania au at least TOKA EA community, mkristo, ambaye hajawahi kuzaaa wala kutoa mimba.Natumaini utanisaidia kwa hili hasa ukizingitia nature ya kazi yangu inanibana kiasi nashindwa kupata nafasi ya mchumba ninayemtaka.Ambaye yupo tayari (mabinti tu) atume maombi kwa E-mail jarome_msaka@hotmail.com akiambatanisha picha yake ya passport pamoja na na ya full.*MDAU MWENYE SHAUKU YA KUPATA MWENZI WA MAISHA,JAROME PAUL MSAKA. kwa hisani ya Haki Ngowi.
April 6, 2008
NATAFUTA MCHUMBA

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
Popular Posts
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion...
-
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni-Kinondoni leo imeamua mazishi ya mwili wa Marehemu Paulo Goliama aliyefariki wiki iliyopita yafany...
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
At least 32 people have been killed in multiple explosions after an accident at a munitions dump in Tanzania's commercial capital, Dar e...
-
Baada ya DCI na jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaa walivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwam...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Wadau naomba radhi kwa kutowaletea au kupost picha mpya hasa za mshikaji "NYEPESI" akifanya vitu vyake mtaani au za madent UDSM kw...
-
JAMANI MJAMAA ATAFUTA JIKO HUYU NA SIFA KAORODHESHA HAPO CHINI, JE NI KWELI SASA TUMEFIKA HATA KUJITANGAZA KTK VYOMBO VYA HABARI? AU NI UBI...
-
Mwandishi wa kituo kimoja cha redio cha watoto wa mjini akiwa kazini wakati wa uzinduzi wa Kili Muzic Awards 2007
3 comments:
Kaka watafuta Mchumba au Mke maana midume mingine yajifanyaga kutafuta mchumba maisha yao yote si kama hwapati bali wapata wachapa watosa ndo mtindo wao, na kwa weye nikuonanyo mmhh.
usijali utapata kaka hongera kwa ujasiri wako wa kujitokeza hadharani.
Mrs Bennett
Damn you Liar! you are just a fucker...! why don you go fuck cheaply at Ohio?
It cant be for you to go all that long way to Masters degree and yet you did not find anyone on the way! otherwise you are problematic!!
Mdau.
Post a Comment