April 6, 2008

NATAFUTA MCHUMBA

JAMANI MJAMAA ATAFUTA JIKO HUYU NA SIFA KAORODHESHA HAPO CHINI, JE NI KWELI SASA TUMEFIKA HATA KUJITANGAZA KTK VYOMBO VYA HABARI? AU NI UBIZE ATA KUSEMESHA TOTOZ INAKUWA TABU? Mimi kwa jina naitwa bw. Jarome Msaka, nimezaliwa mwanzoni mwa 1976, ningependa kujitokeza kwenye blog yako unisaidie natafuta mchumba. Sifa zangu ni kama ifuatavyo;Elimu: Masters ya Management IT Security Kazi: Nzuri ya kipato cha kutosha, nina nyumba na usafiri wangu binafsi. Makazi: Dar es salaamHeight and body built: 5.8", normal body. Sifa zingine: Sivuti sigara, nakunywa pombe kiasi, ni mkristo (Lutheran), sijawahi kuoa na sina mtoto,sina ulemavu wowote, mcheshi kiasi, mwenye kupenda maendeleoMchumba ninayemtaka awe naumbile la wastani, mwenye elimu kuanzia degree moja, mpenda maendeleo, asiwe complicated na awe muwazi, awe tayari kupima ukimwi, awe Mtanzania au at least TOKA EA community, mkristo, ambaye hajawahi kuzaaa wala kutoa mimba.Natumaini utanisaidia kwa hili hasa ukizingitia nature ya kazi yangu inanibana kiasi nashindwa kupata nafasi ya mchumba ninayemtaka.Ambaye yupo tayari (mabinti tu) atume maombi kwa E-mail jarome_msaka@hotmail.com akiambatanisha picha yake ya passport pamoja na na ya full.*MDAU MWENYE SHAUKU YA KUPATA MWENZI WA MAISHA,JAROME PAUL MSAKA. kwa hisani ya Haki Ngowi.

3 comments:

Anonymous said...

Kaka watafuta Mchumba au Mke maana midume mingine yajifanyaga kutafuta mchumba maisha yao yote si kama hwapati bali wapata wachapa watosa ndo mtindo wao, na kwa weye nikuonanyo mmhh.

Anonymous said...

usijali utapata kaka hongera kwa ujasiri wako wa kujitokeza hadharani.
Mrs Bennett

Anonymous said...

Damn you Liar! you are just a fucker...! why don you go fuck cheaply at Ohio?

It cant be for you to go all that long way to Masters degree and yet you did not find anyone on the way! otherwise you are problematic!!

Mdau.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...