April 6, 2008

"NO REFERENDUM"- CUF

Chama cha Wananchi CUF kimesema kura za maoni zilizopendekezwa na NEC ya CCM hazikubaliki kwa mazungumzo ya muafaka wa kisiasa visiwani.

2 comments:

Anonymous said...

MAMBO VIJANA WENZANGU,KWA WAZEE SHIKAMOONI .kweli chama cha mapinduzi hakijakosea kwa kusema kwamba mabadiliko ya katiba ,yanaihitaji maoni ya wananchi.kutokana Tanzania tuna written constitution kuibidilisha itabidi referendum iwepo.kwa matazamo wangu jinsi cuf wanataka kubadilisha constitution kwa niaba yao binafsi ambavyo ni siyo sahihi.kwasababu constitution ina reflect wananchi na siyo ,watu wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu.pia CUF wanatakiwa kujua kwamba wananchi wanaitaji maendeleo kwahiyo kazi ya upizani ni kuikosoa serikali,kuliko kuwa na serikali ya mseto ambayo inaweza ikachangia kwa kiasi kikubwa uzembe katika uwajibikaji kwa viongozi.la mwisho napenda kumkosa katibu mkuu wa CUF kwa yeye kwenda kushitaki CCM nje itasaidia kabisa,bali anaonyesha udhaifu wake,kwa jinsi gani alivyokuwa anaupeo mdogo katika
kufanya maamuzi kama kiongozi."he is unfit to be a leader".kwasababu matatizo ya tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe na siyo mtu kutoka nje.Na nukuu retired prime minister Tony blair "PROBLEMS OF AFRICA WILL BE SOLVED BY AFRICAN THEMSELVES".Safari hii hatokubali kwa ndugu zetu kutimiwa kufanya vurugu visiwani kwa niaba ya mtu ambaye anaitaka ulaji wake binafsi na bila ya kutaka ridhaa kutoka wananchi.
MUNGU ISAIDIE TANZANIA IKAE KWA UTULIVU NA AMANI.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...