September 30, 2007

Wadau naomba radhi kwa kutowaletea au kupost picha mpya hasa za mshikaji "NYEPESI" akifanya vitu vyake mtaani au za madent UDSM kwani niko HONEY MOON naahidi pindi niliripotipo kwa ofisi nitawapatia mpya mpya kadiri zinavyojili. Asanteni sana.

2 comments:

Chemi Che-Mponda said...

Najua kuna wakati inakuwa shida kuposti na kuna wakati posti zinkuja mfulilizo. Endelea na kazi nzuri.

Bongo Pixs said...

Nashukuru Dada Chemi na mwanablog maarufu kwa kunitia moyo, nami napenda pia kazi yako nzuri ktk blog yako, ni kweli ni kazi sana na hasa unapokuwa na majukumu mengine yanayotumia muda wako mwingi, naomba tuendelee kuwasiliana.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...