Waathirika waubomoaji wa kikatili wa Tabata Dampo jijini bado waishi kkt vibanda kutokana na kutokuwa na pa kwenda.
Bi Mafunda Khamis na Mumewe na watoto watano wameishi nyumba za kupanga maisha yao yote jijini,ni mwaka jana walipojikomboa na kupanga baada ya kujenga nyumba yao eneo hili.
Hawana zaidi ya mwaka ndani ya nyumba yao wanakumbana na bomoabomoa ya kikatili kama hii.
Mvua zinazoendelea zimewalazimisha kuwaombea hifadhi kwa ndugu watoto na wao kubaki hapo.
No comments:
Post a Comment