October 17, 2011

UDOM - Massive turnout for 12 posts job interview.

Hii ni UDOM na hawa ni JOB SEEKERS wameitwa kwa Interview, nafasi ni 12 tu lakini walioitwa kwa usahili ni zaidi ya 2200,  Je hii yamaanisha nini hasa? pata comments za watu zaidi hapa. JAMII FORUMS

1 comment:

Mbele said...

Nina uzoefu wa hali ilivyo katika ajira za kufundisha vyuo vikuu vya Marekani. Ikitokea nafasi, chuo kinawajibika kisheria kuitangaza nafasi hiyo kila mahali panapowezekana, kuanzia kwenye majarida na mitandao ya taaluma husika, na kwenye vyuo vingine. Ni lazima wasambaze taarifa sehemu hizo zote, ili kila mtu aweze kupata fursa sawa ya kuliona tangazo na kupeleka maombi.

Ni kawaida kwa nafasi hiyo moja kuletwa mamia ya maombi. Kazi sasa inakuwa kwa kamati husika kuanza kuchuja. Watachuja sana, hadi wafikie waombaji wachache, labda tuseme 20, ambao sasa kamati inawaita kwenye mahojiano.

Baada ya mahojiano hayo, wanaweza kupatikana waombaji watatu, ambao wanaitwa chuoni kufanyiwa mahojiano zaidi, na wao kuonyesha uwezo wao wa kufundisha, falsafa na fikra zao kuhusu somo husika, na kadhalika.

Baada ya hapo, anapatikana mwombaji moja, na ndiye anapelekewa taarifa ya kupewa kazi.

Nimeeleza hayo ili tu kupanuana mawazo.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...