September 18, 2009

Albino ajisaalimisha kwa Mganga wa Kienyeji!!

Mlemavu wa Ngozi (Albino) Festo akiwa na Mganga wa jadi Antony Mwandulami (kulia) mara baadaya kujisalimisha kwa mganga huyo kuomba hifadhi baada ya kutishiwa kuuwawa na watu wanaotafuta viungo vya maalbino,
Imekaaje hii wadau?????
na mdau Francis Godwin

1 comment:

Francis Godwin ni Iringa na matukio said...

Kaka ni habari ndefu ila kwa ufupi huyu albino alikuwa akiweindwa kwa ajili ya kuuwawa na mtu ambaye alitaka kumfanyia unyama huo kabla ya kukamilisha azma yake alikwenda kwa mganga huyo kutaka kupatana naye bei na ndipo mganga alipoamua kupiga simu polisi na kufanikiwa kumnasa muuwaji huyo ambaye alitaka kumuua albino huyo iwapo angelipwa kiasi cha shilingi milioni 4 kama gharama ya viungo vyote .

Wengi naona wanataka kujua nitaweka mkasa mzima katika blog yangu ya www.francisgodwin.blogspot.com

kazi njema

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...