April 20, 2009

Enzi hizo MARUFUKU KUONEKANA BANK

Enzi hizo za Mjukuu wa Burito ilikuwa marufuku kwa Range kupaki karibu na Benki kwa maana ilikuwa inaaminika kuwa mkoko huu ulikuwa wakimbia sana kupita gari zote, Je hii ni mpaka sasa au marufuku ilishafutwa?

2 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Hizo zilikuwa enzi za Sokoinne nini. Tumetoka mbali ati!

Anonymous said...

Amnini usiamini, hakuna ukweli katika hilo-hakukuwa na chapisho lolote lililosema hivyo. Ulianza kama uvumi, na inawezekana kabisa wahitimu wachache wasiokuwa makini toka Kilwa Rd ama Moshi waliendeleleza hilo zengwe. Logically, Polisi walikuwa wanatumia Peogeout 404 na Peogeout 504 (guruwe) ambazo zina enjini ndogo (1.6L) na silinda 4, ukilinganisha na Range Rover za miaka ya 70-80 ambazo ziliaverage 135HP kwa silinda sita mpaka nane. So in principal, 404 isingeishika, but in law, hakukuwa na sheria hiyo. Hii ni dhana tu, kama ya kifimbo cha mchonga

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...