April 20, 2009

Yanga, Simba tumestaarabika siku hizi!!

Ilikuwa na baada ya kushusha kibao hiki kinachoonyesha muda ulobaki ndipo Yanga waliposawazisha bao la pili. Zamani sijui kama kingeeleweka au Refa angetoka uwanjani salama.
Kitendo cha kubadilishana jezi kwa timu izi ilikuwa lini mara ya mwisho wadau? maana si wengine kumbukumbu zetu zilikizo kidogo, anaekumbuka naomba anijuze kwa faida ya wadau wote.
"Hakuna alofungwa mshikaji"
Kina mama na familia zao sasa wanaweza kwenda na kufurahia gemu pasi na shaka yoyote sasa.
Hakika tumestaarabika kidogo kama si sana, au mwasemaje wadau?.

1 comment:

gg said...

inafurahisha sana ni maendeleo kwa kweli wachezaji wamestaarabika na wapenzi pia wamestaarabika nadhani ni kutokana na kuwa na uwanja mzuri pia ila tunaomba serikali ifikirie barabara za kwenda taifa maana siku za match kutiokana na foleni watu tunaenda tangu asubuhi wakati match ni ya saaa kumi hivyo tunapunguza tija

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...