August 18, 2008

EPA hatimaye yakabidhiwa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea rasmi ripoti ya uchunguzi kuhusu upotevu wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Nje (External Payments Account – EPA) kutoka kwa Mwenyekiti wa Timu iliyofanya uchunguzi huo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika katika halfa fupi iliyofanyika leo (Jumatatu, Agosti 18, 2008) Ikulu, Dar Es salaam. Wengine katika picha ni wajumbe wa timu iliyofanya uchunguzi huo,Mkuu wa jeshi la polisi nchini, Saidi Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Dr.Edward Hosea.
Posted by Picasa

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...