August 18, 2008

EPA hiyoooooo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiipitia ripoti ya uchunguzi kuhusu upotevu wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Nje(External Payments Account-EPA) muda mfupi baada ya kukabidhiwa na mwenyekiti wa timu iliyoongoza uchunguzi huo Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Johnson Mwanyika.Wengine katika timu hiyo ni Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Saidi Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Dr.Edward Hosea. Ripoti hiyo ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo hii.
Posted by Picasa

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...